Pongezi kwa mzee Reginald Mengi

Pongezi kwa mzee Reginald Mengi

Nguli kibao wamepita hapo Charles Hilary,Abubakary Liongo,Ahmed Kipozi,Abdalah Majura,Salim Kikeke,Misanya Bingi,Flora Nducha,Marry Mgawe,Julius Nyaisanga,Moses Justine,Mike Muhagama,Taji Liundi.

kweli Itv ni mama
 
hivi huyu 'machache' bado tu anagombea vitalu vya geshi na yule mtu 'muongo' ?
 
unamkubali kwa lipi mamii, au unataman bahat ya mama wawili ingekuangukia wewe

Huoni biashara zake na msaada kwa watu!!!!! hiyo bahati yake na mama wawili ni mambo yake binafsi...
 
Huoni biashara zake na msaada kwa watu!!!!! hiyo bahati yake na mama wawili ni mambo yake binafsi...
biashara zake wapi na wapi, naye ni fisadi tu kama mafisadi wengine, embu jaribu kuchimba chimba uelewe alivyokwiba mapesa nicol.
 
dah tumetoka mbali enzi za itv na itv 2,kweli mtu alietoa wzo itv 2 ibadilishwe na kuwa channel 5 nampa big up.
 
biashara zake wapi na wapi, naye ni fisadi tu kama mafisadi wengine, embu jaribu kuchimba chimba uelewe alivyokwiba mapesa nicol.

Hata kama aliiba huoni kama huo wizi unanufaisha wengi kupitia kampuni zake.
 
Pia na mpa big up kwa kudate na mamiss wabongo na big up zaidi kwa Kyln kwa kukubali kuwa mama wali maana Mada Rita na Jokate walichemka.

Kule Kenya kuna kibabu,tycoon sampuli za baba wawili kinaitwa Dj CK jina halisi anaitwa Charles Kirubi pamoja na utycoon wake na kuwa kibabu nae anaongoza kwa kuwasasambua wale mamiss ambao wanajiita milioni si pesa,nae ana radio na ndie mmiliki wa kiwando cha kutengeneza Bic,ni kama vile baba wawili nae alianzia kutengeneza Bic,pesa sabuni ya roho bana
 
Na nyie mtafuteni binti wake,unaweza kubahatisha bingo
 
dah tumetoka mbali enzi za itv na itv 2,kweli mtu alietoa wzo itv 2 ibadilishwe na kuwa channel 5 nampa big up.
bora hata hiyo ikabaki kuwa channel 5 maana jina la eatv sidhani hawa wakenya na waganda kama huwa wanatazama hii chanel, labda watanzania waishio huko,hata lengo lao la kupata matangazo kutoka nchi hizo lilishakufa
 
ndo changamoto zenyewe hizo so mengi inabidi apambane nazo na sio kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom