Pongezi kwa Rais dkt Samia kwa kuchaguliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM 2025/2030.

Pongezi kwa Rais dkt Samia kwa kuchaguliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM 2025/2030.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030.
Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu.
Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
 
Pongezi kwake Kwa Imani kubwa alooneshwa Tofauti na kelele nyingi za Jamhuri ya Mitandao. Hongera Dr. Suluhu. Wekeza zaidi Kwa Vijana wa kitanzania, zidisha Imani kwao utavuna.
 
Hahaha, unawachanganya sana wajumbe.

Hawakumchagua Samia, wametangaziwa kwamba wamemchagua.

Nafasi hiyo haikuwa inagombewa, hakukuwa na uchaguzi bali wajumbe walienda kupewa taarifa tu.
 
Bora magufuli angekuwa hai Sasa hivi angekuwa anatoka na jiimama lake..
 
Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030.
Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu.
Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
Kwa utaratibu gani😂😂😂
 
Imekuaje 100% na LUHAGA MPINA tulimuona kapigwa butwaa
 
Sisi wanaccm makini tunataka utumike utaratibu kama ule wa CHADEMA. Wagombea waruhusiwe kuchukua fomu, na ikiwezekana ufanyike na mdahalo ili tupate mgombea makini, na mwenye sifa za kweli za kuongoza nchi! Na siyo ujanja ujaja tu.
 
Back
Top Bottom