Ni hakika.Pongezi kwake Kwa Imani kubwa alooneshwa Tofauti na kelele nyingi za Jamhuri ya Mitandao. Hongera Dr. Suluhu. Wekeza zaidi Kwa Vijana wa kitanzania, zidisha Imani kwao utavuna.
Kwa utaratibu gani๐๐๐Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030.
Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu.
Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
Kwa utaratibu wa kichama.Kwa utaratibu gani๐๐๐