Pongezi kwa Rais Samia, Demokrasia ni msingi wa maendeleo

Pongezi kwa Rais Samia, Demokrasia ni msingi wa maendeleo

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kuna watu bado hawaelewi. Rais Samia anataka kuweka demokrasia sio kwa mapenzi ya Chadema au CCM bali ni ukweli kwamba demokrasia imara inasaidia kwenye maendeleo ya nchi

Vyama vya siasa kupewa nguvu sawa ni mihimu ili kuwe na ushindani wa hoja kwa maendeleo ya nchi. Hii ndiyo kazi kubwa ya demokrasia ya vyama.

Usipokuwa na demokrasia wafaidika wakubwa sio wananchi bali ni makada wa chama tawala huko nchi ikibaki bila vyama vya kuweka ushindani na kuboresha nchi

Hivyo kwa wale wasiopenda demokrasia watuambie ni kwanini demokrasia, haki na usawa sio mzuri kwa nchi.
 
Nchi gani yenye demokrasia afrika imeendelea?
 
Back
Top Bottom