Pongezi kwa RC wa Dar: Umeisafisha Ubungo Riverside kwa kwa fagio la chuma ulilotumia Mwananyamala

Pongezi kwa RC wa Dar: Umeisafisha Ubungo Riverside kwa kwa fagio la chuma ulilotumia Mwananyamala

Ulikuwa ukipita,unasikia halufu ya uozo. Baada ya madada poa kuondolewa,halufu haipo tena.
Unamaanisha wao ndo walikuwa na halufu ya uozo? Kwenye katani au nyukilia zao? Ebu tueleze. Na ulikuwa ukifata nini mpaka unasikia hiyo harufu? Au kuna kingine umeficha!
 
Huwezi maliza ukahaba ila unaweza punguza madhara ya vizazi vijavyo kwa kuzuia biashara hii ionekane ni ya kawaida.

Kama ikiwezekana kuonesha tu ni biashara haram hadi wahusika kufanya kwa kujificha basi huo ni ushindi tosha kabisa kama wa jana (5g)
Pasua kichwa
 
haahaa bado sana mzee river side nayoijua au unaongelea ipi vile vibanda vya pombe kuondolewa barabarani na kukosa kuwepo mkusanyiko biashara yao iko palepale mitaa yao bado wapo
 
Bora aje na advanced tech kuliko kujipanga barabarani. Wanatuharibia kizazi cha baadae.
Hicho ndo nnachomaanisha.

Ni kama biashara ya madawa tu, wauzaji wakianza kujipanga road si nchi nzima tutakua mateja
 
Ulikuwa ukipita,unasikia halufu ya uozo. Baada ya madada poa kuondolewa,halufu haipo tena.
Unamaanisha wao ndo walikuwa na halufu ya uozo? Kwenye katani au nyukilia zao? Ebu tueleze. Na ulikuwa ukifata nini mpaka unasikia hiyo harufu? Au kuna kingine umeficha!
Soma uzi then jifunze kukaa kimya kama hujui kitu.

Nimesema Hao malaya wanajipanga kuanzia karibu na shell mbele kdg ya landmark hotel hadi karibia na Micassa pub. Miccasa kuna live band na wanajaza sana tu na ni kiwanja fln kizuri tu ila hio view ya kuwepo na makahaba maeneo ya jirani ndiyo inayoharibu. Pembeni kuna City pork hotel moja ya sehemu chache hapa dsm unapoweza pata Pork chops hadi ukajilamba vidole. Ushajua nn kinanipeleka maeneo hayo?
 
Ulikuwa ukipita,unasikia halufu ya uozo. Baada ya madada poa kuondolewa,halufu haipo tena.
Unamaanisha wao ndo walikuwa na halufu ya uozo?
Wewe kipochi kitumike mara 10 lwa siku kiache kunuka? Hata pochi ya kawaida lazime ivunde. Halafu piga hio harufu mara 156, total harufu yake hapo ni kama uozo
 
Ila toka mwamba, mzee wa kukinukisha ndani ya sekunde tu, RC wa dar atumie fagio la chuma kule mwananyamala basi na riverside pamesafishika. Niamini mimi hadi ile harufu ya uozo imeondoka pale.

Japo kuna wakaidi ila wanajipanga kwa kuibia ibia mida ya usiku sana.

Mwanzo niliona RC kazingua ila baada ya kuona matokea naona RC kafanya maamuzi sahihi.
Kikao cha leo walitoa posho bei gani mkuu
 
Watanzania tujifunze kusema ukweli. Huo sio uchawa bali ni uhalisi
Shida ni sustainability, je hali hiyo itakuwa ya kudumu?
Kuna askari wa kutosha kufanya kazi hiyo kila siku?
Je askari hao hawatakwenda kwenye majukumu mengine?
Amejipangaje kulifanya zoezi hilo kuwa endelevu?
Je zoezi hilo limetengewa budget kwenye mwaka huu wa fedha?
 
Kuna mambo yanaenda kwa ripple effect tu hata huhitaji nguvu nyingi bali ni first commitment tu.

Chalamila kafanya fujo mwananyamala lkn effect imefika hadi riverside.

Wakinanyua vichwa tena unatupa jiwe. That way.
 
Mlimsikia RC vizuri, wataanza kuvizia na kukamata wanaume wanaokwenda kununua halafu watapigwa picha ya pamoja..ili Jamii iwajue.. ewe mteja kuwa makini usije leta fedheha kwenye familia yako
 
Back
Top Bottom