Unafikiri zinatoka mbali sasaSi kila mtu ana uwezo wa kulipia pisi ije na toyo.
Pasua kichwaHuwezi maliza ukahaba ila unaweza punguza madhara ya vizazi vijavyo kwa kuzuia biashara hii ionekane ni ya kawaida.
Kama ikiwezekana kuonesha tu ni biashara haram hadi wahusika kufanya kwa kujificha basi huo ni ushindi tosha kabisa kama wa jana (5g)
😂😂😂😂😂😂mwanaume mmbeya sana wewe yaani huwezi kuona jamboukatulia. swali je huyo mtoto wa rafiki yako ameacha umalaya?
Si kweli....Unapajua Miami?! Au Las Vegas?!Umasikini unangia kuwepo kwa Malaya kwa sehemu kubwa sana
Soma uzi then jifunze kukaa kimya kama hujui kitu.Ulikuwa ukipita,unasikia halufu ya uozo. Baada ya madada poa kuondolewa,halufu haipo tena.
Unamaanisha wao ndo walikuwa na halufu ya uozo? Kwenye katani au nyukilia zao? Ebu tueleze. Na ulikuwa ukifata nini mpaka unasikia hiyo harufu? Au kuna kingine umeficha!
Wewe kipochi kitumike mara 10 lwa siku kiache kunuka? Hata pochi ya kawaida lazime ivunde. Halafu piga hio harufu mara 156, total harufu yake hapo ni kama uozoUlikuwa ukipita,unasikia halufu ya uozo. Baada ya madada poa kuondolewa,halufu haipo tena.
Unamaanisha wao ndo walikuwa na halufu ya uozo?
Kikao cha leo walitoa posho bei gani mkuuIla toka mwamba, mzee wa kukinukisha ndani ya sekunde tu, RC wa dar atumie fagio la chuma kule mwananyamala basi na riverside pamesafishika. Niamini mimi hadi ile harufu ya uozo imeondoka pale.
Japo kuna wakaidi ila wanajipanga kwa kuibia ibia mida ya usiku sana.
Mwanzo niliona RC kazingua ila baada ya kuona matokea naona RC kafanya maamuzi sahihi.
Shida ni sustainability, je hali hiyo itakuwa ya kudumu?Watanzania tujifunze kusema ukweli. Huo sio uchawa bali ni uhalisi
Kuna mambo yanaenda kwa ripple effect tu hata huhitaji nguvu nyingi bali ni first commitment tu.Shida ni sustainability, je hali hiyo itakuwa ya kudumu?
Kuna askari wa kutosha kufanya kazi hiyo kila siku?
Je askari hao hawatakwenda kwenye majukumu mengine?
Amejipangaje kulifanya zoezi hilo kuwa endelevu?
Je zoezi hilo limetengewa budget kwenye mwaka huu wa fedha?
Unafikiri zinatoka mbali sasa