Pongezi kwa Sports Arena ya WASAFI FM

Pongezi kwa Sports Arena ya WASAFI FM

Unknown2

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
2,352
Reaction score
5,055
Hawa jamaa kipindi chao kimejikita katika ueledi na sio uchonganishi. Habari zao zinazingatia taarifa rasmi na si vinginevyo.

Katika chambuzi zao hawaegemei upande wowote, na wanaongea wakiwa relaxed kabisa. Hongera sana Eddo na crew yako.

Ila mshauri Yusuf Aboubakari Mkule aache kumuiga Kitenge hasa namna ya uulizaji wa maswali.

Upande wa pili Sports HQ imekosa weledi. Wanaoharibu zaidi ni Jemedari Said na Oscar hasa ongea yao ya kutumia nguvu utadhani ni ugomvi.

Kipindi chao kimejikita katika kukomoana na watu flani, kinachambua zaidi tetesi kuliko taarifa rasmi na chambuzi zao hujaa mahaba na kuongozwa na hisia.

Hongera sana Diamond, Majizzo jitafakari!

JamiiForums mobile app
 
Ubaya wa efm upande wa habari za kimataifa wameupa mda mdogo sana na mitangazo kibao amna cha maana efm
 
Back
Top Bottom