Kwa namna mechi ya jana ilivyokua, hakika wakija bongo watapigwa tu. Sema tu benchi la ufundi hawana budi kuzifanyia kazi changamoto chache zilizojitokeza hasa kipindi cha pili za timu yetu kukata pumzi na hivyo kuruhusu mashambulizi ya mfululizo kupitia upande wa beki mbili wetu.