Pongezi kwa Wakili Peter Kibatala, anafanya kazi nzuri

Pongezi kwa Wakili Peter Kibatala, anafanya kazi nzuri

Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,601
Reaction score
2,354
Lengo la thread hii ni kutambua mchango wa wakili msomi Peter Kibatala kiukwel anafanya kazi nzuri sana katika mapambano ya haki na utawala wa sheria hapa kwetu Tanzania

Hivo ningependa muungane na mm katika kumpongeza wakili huyu nguli na mjuzi wa sheria.

1624654295259.png
1624654326851.png
1624654367285.png
1624654414543.png
1624654446286.png
 
Tena katika kipindi cha utawala wa dikteta... Hata kukohoa vyumbani kwao, watu walikuwa wanaogopa! Congratulations are in order kwa wakili!
Kwenye hizi taalum unaweza kuamua kuwa mtu bora kama hutatanguliza maslahi binafsi.

Uwezo wa Kibatala kama sio kutetea wanyonge dhidi ya serikali angekuwa Jaji kwenye ofisi za serikali na chama pendwa. Lakini kwake hayo yote sio kitu anasimama upande wa haki.
 
Mpambanaji salute mingi kwake.....
Tangu nilipoamua kuweka list ya role model wangu

Lissu, Mbowe, Kibatala, Mnyika. Maisha yangu yamekuwa ya mafanikio na furaha tele.

Peace of mind inaleta kila kitu unachohitaji maishani mwako.
 
Back
Top Bottom