Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Naunga mkono hoja huyu jamaa abarikiwe sana na wazazi waliomzaa pia wabarikiwe na Mungu ampe maisha marefu sana sio kazi rahisi ujue kwa nchi yetu hasa utawala uliopita watu kama yeye walinunuliwa, wengine walitekwa au kupotezwa au kupigwa risasi kama LissuLengo la thread hii ni kutambua mchango wa wakili msomi Peter Kibatala kiukwel anafanya kazi nzuri sana katika mapambano ya haki na utawala wa sheria hapa kwetu Tanzania
Hivo ningependa muungane na mm katika kumpongeza wakili huyu nguli na mjuzi wa sheria.
View attachment 1829920View attachment 1829922View attachment 1829924View attachment 1829933View attachment 1829934
Lakini huyu mwamba amevuka salama ashukuriwe Muumba.
Kipindi cha kesi ya kina Mbowe jamaa alitisha sana na mashambulizi yake mahakamani ingekuwa ndo ule utawala wa mzee naniliu sidhani kama wangemuacha salama