Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
Mkuu MAPITO nimepita Karagwe Chadema mwendo mdundo.Hakika history itambeba kamanda Mungu ampe umli mrefu kama mtume Suleiman
Mkuu hukuvuka na Primus?Mkuu MAPITO nimepita Karagwe Chadema mwendo mdundo.
hakika amefanya kazi kubwaHakika history itambeba kamanda Mungu ampe umli mrefu kama mtume Suleiman
Ni miongoni mwa Watu waliotishwa vibaya sana kwenye nchi hii , lakini hakutetereka
Kwenye hizi taalum unaweza kuamua kuwa mtu bora kama hutatanguliza maslahi binafsi.Tena katika kipindi cha utawala wa dikteta... Hata kukohoa vyumbani kwao, watu walikuwa wanaogopa! Congratulations are in order kwa wakili!
Tangu nilipoamua kuweka list ya role model wanguMpambanaji salute mingi kwake.....
aminaHakika history itambeba kamanda Mungu ampe umli mrefu kama mtume Suleiman
Ubarikiwe sana!Tangu nilipoamua kuweka list ya role model wangu
Lissu, Mbowe, Kibatala, Mnyika. Maisha yangu yamekuwa ya mafanikio na furaha tele.
Peace of mind inaleta kila kitu unachohitaji maishani mwako.
Solid man[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1940787View attachment 1940786