Pongezi kwa Wakili Peter Kibatala, anafanya kazi nzuri

Naunga mkono hoja huyu jamaa abarikiwe sana na wazazi waliomzaa pia wabarikiwe na Mungu ampe maisha marefu sana sio kazi rahisi ujue kwa nchi yetu hasa utawala uliopita watu kama yeye walinunuliwa, wengine walitekwa au kupotezwa au kupigwa risasi kama Lissu
Lakini huyu mwamba amevuka salama ashukuriwe Muumba.
Kipindi cha kesi ya kina Mbowe jamaa alitisha sana na mashambulizi yake mahakamani ingekuwa ndo ule utawala wa mzee naniliu sidhani kama wangemuacha salama
 
Limebarikiwa Tumbo Lililomzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…