πKesha tia timu tayari.
kwa hyo kumbe wayahudi hawapo pale middle east kimakosa siyo?, je mtu akikuambia kuwa ukaldayo ambayo ilikuwa sehemu ya iraq ya sasa kama usemavo ndo hili taifa la israel ya sasa utakataa?Ukaldayo ilikuwa ni sehemu katika nchi ya Iraq ya sasa.
Who lived in Palestine before Israel?kwa hyo kumbe wayahudi hawapo pale middle east kimakosa siyo?, je mtu akikuambia kuwa ukaldayo ambayo ilikuwa sehemu ya iraq ya sasa kama usemavo ndo hili taifa la israel ya sasa utakataa?
Karibia Mashariki ya kati yote na Afrika. Ukisoma historia waliwepo ambazo leo zinaiwa "Syria, Jordan, Egypt, Saudi Arabia, Iraq, Iran, Yemen, Ethiopia, Morocco. Wengine mpaka leo wapo Yemen, Iran, Ethiopia, Morocco na nchi zingine nyingi.Kabla ya kusambaa huko ulaya yote ambako walikuwa hawatakiwi, walitokea wapi na kusambaa huko?
Abraham/Ibrahim aliishi wapi
Watoto WA Abraham/Ibrahim ni Akina Nani.
Makabila yaliokuwepo huko ni yapi.
Kuna makabila 12 ya wayahudi ni yapi.
Wayahudi walivyokwenda utumwani Misri , nchi Yao ilikaliwa na Nani.
Walivyo Rudi toka utumwani waliishia wapi , na nchi ya ahadi ilikuwa ipi.
Hii itakuwa agano la kale .
Na baada ya agano Jipya kuondoka Kwa wayahudi ilikuwaje na nchi Yao ilitwaliwa na Nani.
Wayahudi walivyokwenda utumwani Misri , nchi Yao ilikaliwa na Nani?
Huna unalolijua mkuu.Sehemu ya Palestina ilikuwa ni ardhi ya Wa-Israeli ya muda mrefu tu.
shida haikuwa palestina bali hao wayahudi. Walitaka kuichukua ardhi isiyo yaoKwa nini Wapalestina walikataa mpango wa mataifa mawili wa UN mwaka 1947.
Wa-Israel wenyewe kwa maandiko yao wanaanzia historia yao hapo walipo leo kwamba Mungu ndipo alipompa Ibrahim baada ya kumuambia atoke Ukaldayo sasa mtu gani mwingine atadai Iraq ni kwa Wa-Israeli?!kwa hyo kumbe wayahudi hawapo pale middle east kimakosa siyo?, je mtu akikuambia kuwa ukaldayo ambayo ilikuwa sehemu ya iraq ya sasa kama usemavo ndo hili taifa la israel ya sasa utakataa?
But Phalestin was,and who are they now?.Just to be clear:
Before Israel, there was a British mandate, not a Palestinian state.
-Before the British Mandate, there was the Ottoman Empire, not a Palestinian state.
-Before the Ottoman Empire, there was the Islamic state of the Mamluks of Egypt, not a Palestinian state.
-Before the Islamic state of the Mamluks of Egypt, there was the Ayubid Empire, not a Palestinian state. Godfrey IV of Boulogne, known as Godfrey de Bouillon, conqueror of Jerusalem in 1099
-Before the Ayubid Empire, there was the Frankish and Christian Kingdom of Jerusalem, not a Palestinian state.
-Before the Kingdom of Jerusalem, there was the Umayyad and Fatimid empires, not a Palestinian state.
-Before the Umayyad and Fatimid empires, there was the Byzantine empire, not a Palestinian state.
-Before the Byzantine Empire, there were the Sassanids, not a Palestinian state.
-Before the Sassanid Empire, there was the Byzantine Empire, not a Palestinian state.
-Before the Byzantine Empire, there was the Roman Empire, not a Palestinian state.
-Before the Roman Empire, there was the Hasmonean state, not a Palestinian state.
-Before the Hasmonean state, there was the Seleucid, not a Palestinian state.
-Before the Seleucid empire, there was the empire of Alexander the Great, not a Palestinian state.
-Before the empire of Alexander the Great, there was the Persian empire, not a Palestinian state.
-Before the Persian Empire, there was the Babylonian Empire, not a Palestinian state.
-Before the Babylonian Empire, there were the Kingdoms of Israel and Judah, not a Palestinian state.
-Before the Kingdoms of Israel and Judah, there was the Kingdom of Israel, not a Palestinian state.
-Before the kingdom of Israel, there was the theocracy of the twelve tribes of Israel, not a Palestinian state.
-Before the theocracy of the twelve tribes of Israel, there was an agglomeration of independent Canaanite city-kingdoms, not a Palestinian statehood.
Actually, in this piece of land there has been everything, EXCEPT A PALESTINIAN STATE!
Ur(Iraq).hajamaliza kitu, atuambie ibrahimu anayemsema alitoka wapi mpaka akafika hapo ugenini.
Huo ndiyo ukweli, kama una maoni yako andika lakini usinambie mimi kaandike hivi au vile. Ni ujinga huo.Wewe umevurugwa na kuchanganyikiwa kabisa, uko delusional
Hija ya Waisrael unafahamu ni dini tatu za kizazi cha Abraham hapo hapo sehemu moja, wanapishana milango tu.Nenda Israel kahiji, wataanza kukutembeza kuanzia Western/Wailing Wall. Kwa msaada zaidi unaweza kumtafuta Job Ndugai akuelekeze. Vitabu vya Historia anza kusoma Israel and the Nations; F.F Bruce, David F Payne.
Kwa nini uanzie kwa mrumi wa juzi na siyo tawala za mwanzo huko?Tukiacha kutumia vitabu vya imani.
Tutumie historia.
Maana lazima tujiulize kuwa je
1. Mayahudi ni watu waliokuwepo duniani? Na walikiwa sehemu gani kijiografia?
2. Je Wapalestina ni akina nani kiasili na walikuwa eneo lipi?
Je hawa watu wawili nani amekuwepo wapi kabla ya mwingine?
KIHISTORIA.
Wayahudi walitawaliwa na Warumi na kuuawa na jengo la kuchomwa moto na kamanda wa Keshi la kirumi mwaka 70AD.
.....
....
Mwingine aendeleze baada ya Mrumi naa
Hao sio nchi ni jina la mtu Israel.Waisrael (daudi) alipigana na wafilisti(falastini)..
Ni wapi nimeandika kuhusu waarabu?sasa alokwambia wafilisti n waarabu ni nani??
Akijibu hili swali nistue mkuu
vi[pi, mbona mpo kimya hamjayaona majibu?sidhani kama atajibu, ngoja tuone.