Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

Ukaldayo ilikuwa ni sehemu katika nchi ya Iraq ya sasa.
kwa hyo kumbe wayahudi hawapo pale middle east kimakosa siyo?, je mtu akikuambia kuwa ukaldayo ambayo ilikuwa sehemu ya iraq ya sasa kama usemavo ndo hili taifa la israel ya sasa utakataa?
 
kwa hyo kumbe wayahudi hawapo pale middle east kimakosa siyo?, je mtu akikuambia kuwa ukaldayo ambayo ilikuwa sehemu ya iraq ya sasa kama usemavo ndo hili taifa la israel ya sasa utakataa?
Who lived in Palestine before Israel?


It is part of the broader area known as the Levant, which has been a crossroads of various civilizations throughout history. Before 1948, Palestine was home to a diverse population of Arabs, Jews, and Christians, as all groups had religious ties to the area, especially the city of Jerusalem
 
Kabla ya kusambaa huko ulaya yote ambako walikuwa hawatakiwi, walitokea wapi na kusambaa huko?
Karibia Mashariki ya kati yote na Afrika. Ukisoma historia waliwepo ambazo leo zinaiwa "Syria, Jordan, Egypt, Saudi Arabia, Iraq, Iran, Yemen, Ethiopia, Morocco. Wengine mpaka leo wapo Yemen, Iran, Ethiopia, Morocco na nchi zingine nyingi.

Wachaga pia wana asili ya kiyahudi.
 
Warumi nao wapo kama kuna lao lilivyo utata mtupu
 
All in all tuweke Udini pembeni hawa ni watu kama sisi wanapaswa kuishi na kupata mahitaji ya msingi

Kwa dunia ilivyo sasa hakuna duru muhimu ya kuleta suluhisho kama kuongea baina ya pande mbili, msipoongea bado hamuwezi kuelewana

Nb; hatuwezi elewana kwa risasi na mabomu
 
Abraham/Ibrahim aliishi wapi
Watoto WA Abraham/Ibrahim ni Akina Nani.
Makabila yaliokuwepo huko ni yapi.
Kuna makabila 12 ya wayahudi ni yapi.

Wayahudi walivyokwenda utumwani Misri , nchi Yao ilikaliwa na Nani.

Walivyo Rudi toka utumwani waliishia wapi , na nchi ya ahadi ilikuwa ipi.

Hii itakuwa agano la kale .

Na baada ya agano Jipya kuondoka Kwa wayahudi ilikuwaje na nchi Yao ilitwaliwa na Nani.
Code:
Wayahudi walivyokwenda utumwani Misri , nchi Yao ilikaliwa na Nani?
Yalikaliwa na Esau na kizazi chake,kulwa wa Yakobo(Israel).
 
Tukiacha kutumia vitabu vya imani.
Tutumie historia.
Maana lazima tujiulize kuwa je
1. Mayahudi ni watu waliokuwepo duniani? Na walikiwa sehemu gani kijiografia?
2. Je Wapalestina ni akina nani kiasili na walikuwa eneo lipi?
Je hawa watu wawili nani amekuwepo wapi kabla ya mwingine?
KIHISTORIA.
Wayahudi walitawaliwa na Warumi na kuuawa na jengo la kuchomwa moto na kamanda wa Keshi la kirumi mwaka 70AD.
.....
....
Mwingine aendeleze baada ya Mrumi naa
 
kwa hyo kumbe wayahudi hawapo pale middle east kimakosa siyo?, je mtu akikuambia kuwa ukaldayo ambayo ilikuwa sehemu ya iraq ya sasa kama usemavo ndo hili taifa la israel ya sasa utakataa?
Wa-Israel wenyewe kwa maandiko yao wanaanzia historia yao hapo walipo leo kwamba Mungu ndipo alipompa Ibrahim baada ya kumuambia atoke Ukaldayo sasa mtu gani mwingine atadai Iraq ni kwa Wa-Israeli?!
 
Just to be clear:

Before Israel, there was a British mandate, not a Palestinian state.
-Before the British Mandate, there was the Ottoman Empire, not a Palestinian state.
-Before the Ottoman Empire, there was the Islamic state of the Mamluks of Egypt, not a Palestinian state.
-Before the Islamic state of the Mamluks of Egypt, there was the Ayubid Empire, not a Palestinian state. Godfrey IV of Boulogne, known as Godfrey de Bouillon, conqueror of Jerusalem in 1099
-Before the Ayubid Empire, there was the Frankish and Christian Kingdom of Jerusalem, not a Palestinian state.
-Before the Kingdom of Jerusalem, there was the Umayyad and Fatimid empires, not a Palestinian state.
-Before the Umayyad and Fatimid empires, there was the Byzantine empire, not a Palestinian state.
-Before the Byzantine Empire, there were the Sassanids, not a Palestinian state.
-Before the Sassanid Empire, there was the Byzantine Empire, not a Palestinian state.
-Before the Byzantine Empire, there was the Roman Empire, not a Palestinian state.
-Before the Roman Empire, there was the Hasmonean state, not a Palestinian state.
-Before the Hasmonean state, there was the Seleucid, not a Palestinian state.
-Before the Seleucid empire, there was the empire of Alexander the Great, not a Palestinian state.
-Before the empire of Alexander the Great, there was the Persian empire, not a Palestinian state.
-Before the Persian Empire, there was the Babylonian Empire, not a Palestinian state.
-Before the Babylonian Empire, there were the Kingdoms of Israel and Judah, not a Palestinian state.
-Before the Kingdoms of Israel and Judah, there was the Kingdom of Israel, not a Palestinian state.
-Before the kingdom of Israel, there was the theocracy of the twelve tribes of Israel, not a Palestinian state.
-Before the theocracy of the twelve tribes of Israel, there was an agglomeration of independent Canaanite city-kingdoms, not a Palestinian statehood.
Actually, in this piece of land there has been everything, EXCEPT A PALESTINIAN STATE!
But Phalestin was,and who are they now?.
 
Nenda Israel kahiji, wataanza kukutembeza kuanzia Western/Wailing Wall. Kwa msaada zaidi unaweza kumtafuta Job Ndugai akuelekeze. Vitabu vya Historia anza kusoma Israel and the Nations; F.F Bruce, David F Payne.
Hija ya Waisrael unafahamu ni dini tatu za kizazi cha Abraham hapo hapo sehemu moja, wanapishana milango tu.
 
Tukiacha kutumia vitabu vya imani.
Tutumie historia.
Maana lazima tujiulize kuwa je
1. Mayahudi ni watu waliokuwepo duniani? Na walikiwa sehemu gani kijiografia?
2. Je Wapalestina ni akina nani kiasili na walikuwa eneo lipi?
Je hawa watu wawili nani amekuwepo wapi kabla ya mwingine?
KIHISTORIA.
Wayahudi walitawaliwa na Warumi na kuuawa na jengo la kuchomwa moto na kamanda wa Keshi la kirumi mwaka 70AD.
.....
....
Mwingine aendeleze baada ya Mrumi naa
Kwa nini uanzie kwa mrumi wa juzi na siyo tawala za mwanzo huko?
 
Back
Top Bottom