Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

Hija ya Waisrael unafahamu ni dini tatu za kizazi cha Abraham hapo hapo sehemu moja, wanapishana milango tu.
Dini za kizazi cha Abraham ni mbili tu, sijui wewe hiyo ya tatu umeipatia wapi
 
Majini mbwenduko yatabisha huu ukweli acha ukweli ubaki ukweli
Waarabu ndiyo wapalestina ambao eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki yenye rangi ya bluu ni ya wayahudi.

Nilitaka kusoma hili porojo lako loote mapaka nifike mwisho lakini niliposoma paragraph yako hiyo apo juu tu nimeshindwa kuendelea nimeona hujui chochote kuhusu eneo halisi la Nchi ya Palestine.

Myahudi (Wazayuni) kwa nchi ya Palestine ni kama mgeni uliyemkaribisha nyumba kwako na kumpa hifadhi siku mbili tatu baadae yule mgeni akaja kudai ile nyumba yako ni ya kwake na akaanza kukupiga vita na kuanza kukuhamisha kidogo kidogo kwenye nyumba yako nimeona nikupe hii kwa ufupi.
 
Nenda Israel kahiji, wataanza kukutembeza kuanzia Western/Wailing Wall. Kwa msaada zaidi unaweza kumtafuta Job Ndugai akuelekeze. Vitabu vya Historia anza kusoma Israel and the Nations; F.F Bruce, David F Payne.
Ongezea Hebrew history
 
Dini za kizazi cha Abraham ni mbili tu, sijui wewe hiyo ya tatu umeipatia wapi
Amenambia wikipedia:

The Abrahamic religions are a group of religions, most notably Judaism, Christianity and Islam, centered around the worship of the God of Abraham. Abraham, a Hebrew patriarch, is extensively mentioned in the religious scriptures of the Hebrew and Christian Bibles, and the Quran.[1]


Hivi hizo shule mlienda kusoma ujinga?
 

Hatari.
 
Mbona kuna mtume mmoja ya ile dini ya waabudu mwezi na nyota alioa binti wa miaka 9. Huyo binti alikuwa amevunja ungo?
 
Mbona kuna mtume mmoja ya ile dini ya waabudu mwezi na nyota alioa binti wa miaka 9. Huyo binti alikuwa hajavunja ungo?
Wakuu mmekazana na hy kuvunja ungo, yn point zingine zote hamzioni zaidi ya hy 😂 au na nyie tayari.?

vp lkn mzee wangu kwema.?
 
Bado haujaongea vizuri. Kipindi hao wapelestina wanavamia waisrael na kuwaua kwenye tamasha hakuongea.
  • Mbona hamzungumzii vita ya Sudani jinsi waisalmu wanavyochinjana?
  • Mbona huwa hamzungumzii kuhusu vikundi vya kigaidi vya kislamu km Boko Haram, Al shabab, Islamic state na makundi mengine yanayoua watu ovyo wasiokuwa na hatia?
  • Mbona waislamu wenzako wa Libya hawakuishi kwa amani kwa upendo mpka wakaqnzisha vita kumng'oa Ghadafi? Utasema Marekani, kule kuna maduka yanauza bunduki ila hakuna vikundi vya kigaidi
 
SOMA YOTE UJIFUNZE
kwa hisani ya Biblia, chatgpt, google + MAONI YANGU

The name "Palestine" is derived from the term "Philistine." The Romans used the name "Judea" to refer to the region in antiquity, but after the Jewish-Roman Wars in the 2nd century, they changed the name to "Palaestina" as a way to erase Jewish historical connections to the land.
SO, ZAAKA ZA KAZI KWA HILI AMEKUWA SAHIHI.
Kuhusu uhusiano kati ya wafilisti wa zamani na wapalestina wa sasa,

Geographical Overlap: The ancient Philistines were an ancient people who lived in the region of Philistia, which is roughly equivalent to the southern coastal area of modern Israel and the Gaza Strip. The Palestinians primarily inhabit the same geographic area today.
Ethnic and Historical Differences: The modern Palestinian people have diverse ethnic backgrounds, and many are descended from various groups that have lived in the region over centuries, including Arabs, Canaanites, and others. The Philistines, on the other hand, were an ancient Aegean people who arrived in the region around the 12th century BCE.
In summary, while there is a connection in terms of the name "Palestine" and the geographical overlap, the modern Palestinian people are not considered a direct continuation of the ancient Philistines. They have different ethnic, cultural, and historical backgrounds, and the Palestinian identity has developed over time based on various influences and factors.

KWA HIZI POINTS, inaonesha Wafilisti ni muingoni mwa jamii zilizoishi maeneo hayo, ila muingiliano wa jamii nyingi kama wakaanani, waarabu na hao wafilisti ndo kumezaa kizazi hichi cha taifa la palestina ya sasa, kwahyo palestina hii ni sehemu ya wale wafilisti na wakaanani wa kale ambao ardhi yao Mungu aliwapa Ibrahim, Isaka na yakobo na kukawa na vita za mara kwa mara ,
waarabu walikuja baadae baada ya kuitawala hyo ardhi wakaacha chotara zao hapo.
KWA Hiyo hawa wapalestina babu zao upande wa wafilisti na wakaanani ni kweli ardhi ilikuwa yao, ila Mungu Muumba Mbingu na Ardhi aliwakasirikia wazee hawa kutokana na upagani wao, ibada za sananu na kufuru nyingi walizokuwa wanafanya, hivyo Mungu aliwapa ardhi hii ambayo iliitwa nchi ya maziwa na asali ukae uzao wa mcha MUNGU wake Ibrahim,baba wa Isaka baba wa Yakobo (Israel). Kosa tu walilolifanya waisrael ni kutowaua wakazi wote wa eneo lile ili waishi kwa amani na badala yake wakageuka mwimba kwa vizazi vyote vya israel.

HIVYO , ARDHI HII NI HALALI KWA WA ISRAEL, HATA HAYO MAENEO MACHACHE WANAYOKAA WAPALESTINA WANAKAA KIMAKOSA, MUNGU ALIWAPA KOTE HUKO WAISRAEL. HVYO WAPALESTINA WAKAE KWA KUTULIA KWENYE ARDHI YA WANA WA ISRAEL MAANA BABU ZAO WALIMTENDA MUNGU KUFURU NYINGI HVYO WALIAMRIWA WAUAWE ISIACHWE HATA KUNGUNI YA BABU ZAO, HURUMA ZA WAISRAEL NDO ZIMEWAWEKA HAI,

Historia aliyohadithia zaka za kazi inafuata baada ya hii ya kibiblia ambao ndio msimamo wa waisrael,

  1. Historical and Religious Ties: Many Jews view the land of Israel (including the West Bank and Jerusalem) as their ancestral homeland, with deep historical and religious significance. This connection is based on the biblical narratives of the Hebrew Bible (Old Testament) where the land of Canaan was promised to the descendants of Abraham, Isaac, and Jacob.
  2. Zionism: The Zionist movement, which sought to establish a Jewish homeland in Israel, was influenced by these biblical narratives. The establishment of the modern State of Israel in 1948 is seen by many Jews as a fulfillment of biblical prophecies and a return to their ancestral land.

HIVYO BASI nawasihi waarabu kama wanawaonea huruma wapalestina wawachukue wakae nao uarabuni maana kabla ya wao kuitawala ile ardhi hapakuwa na mwarabu, hvyo wabebe wajukuu zao wawarudishe nyumbani damu zao, ila ile ardhi ni halali musirael aipiganie. (HII TABIA YA WAARABU KUAACHA MBEGU KILA WANAPOTAWALA IMEKUWA CHANGAMOTO NDO MAANA KULE ZENJI WANAITWA WAJOMBA ZAO)
"(With reference to Palestinians in Ottoman times) Although proud of their Arab heritage and ancestry, the Palestinians considered themselves to be descended not only from Arab conquerors of the seventh century but also from indigenous peoples who had lived in the country since time immemorial, including the ancient Hebrews and the Canaanites before them. Acutely aware of the distinctiveness of Palestinian history, the Palestinians saw themselves as the heirs of its rich associations." Walid Khalidi, 1984, Before Their Diaspora: A Photographic History of the Palestinians, 1876–1948.

Pia huu mgogoro hauwahusu waislam kabisa, maana hakuna mahali historia imewataja, TUKUMBUKE UISLAM ULIKUJA BAADA YA KRISTO (A.D) ILA HAWA WAYAHUDI NA MAPAGANI WA KIFILISTI NA KIKAANANI WALIKUWEPO HAPO B.C kwahyo waislam nyie tulieni acheni mahasimu hawa wapigane vita vyao,Msikiti na kanisa vinajengwa popote, mpaka kwenye viwanja vyenye migogoro, kwahyo uwepo wa msikiti usifanye ionekane ni ardhi ya waislam kihalali.
Kwa wakristo wenye imani, maandiko yanasema ATAYEMBARIKI ISRAEL ATABARIKIWA NA ATAYEMLAANI ATALAANIWA, kwahyo MKRISTO kuwa upande wa muisrael kibiblia ni sawa sawa haijalishi hao waisrael wanamuamini Yesu au lah, kila mtu ana wajibu wa kutekeleza kile maandiko ya Imani yake yanavyosema, hukumu ya haki ni siku ukifika Mbinguni kwa MUNGU WAKO.
Genesis 12, 1 ;The LORD had said to Abram, "Leave your country, your people and your father's household and go to the land I will show you. 2 "I will make you into a great nation and I will bless you; I will make your name great, and you will be a blessing.3 I will bless those who bless you, and whoever curses you I will curse; and all peoples on earth will be blessed through you."

Pia maandiko mengine yanasema;
"There is neither Jew nor Gentile, neither slave nor free, neither male nor female, for you are all one in Christ Jesus. If you belong to Christ, then you are Abraham's seed, and heirs according to the promise."[4]
In Romans 4:13 it is written:

"It was not through the law that Abraham and his offspring received the promise that he would be heir of the world, but through the righteousness that comes by faith."


REFERENCE;
Genesis 12:1 it is said:

The LORD had said to Abram, "Leave your country, your people and your father's household and go to the land I will show you."
and in Genesis 12:7:

The LORD appeared to Abram and said, "To your offspring [or seed] I will give this land."
and again in Genesis 15:18–21:



The verse is said to describe what are known as "borders of the Land" (Gevulot Ha-aretz).[3]

The promise was confirmed to Jacob at Genesis 28:13, though the borders are still vague and is in terms of "the land on which you are lying". Other geographical borders are given in Exodus 23:31 which describes borders as marked by the Red Sea, the "Sea of the Philistines" (i.e. the Mediterranean), and the "River," (the Euphrates).

The deity later confirms the promise to Abraham's son Isaac (Genesis 26:3), and then to Isaac's son Jacob (Genesis 28:13), who is later renamed "Israel" (Genesis 32:28). The Book of Exodus describes the Promised Land in terms of the territory from the River of Egypt to the Euphrates river (Exodus 23:31). The Israelites lived in a smaller area of former Canaanite land and land east of the Jordan River after Moses led the Exodus out of Egypt (Numbers 34:1–12), and the Book of Deuteronomy presents this occupation as God's fulfillment of the promise (Deuteronomy 1:8). Moses anticipated that God might subsequently give the Israelites land reflecting the boundaries of God's original promise – if they were obedient to the covenant (Deuteronomy 19:8–9).


 

naona unarukaruka tu mama...haiwezekani origin ya hao jamaa iwe nchi zote hizo,,,,huko labda walisambaa tu lakini kimsingi lazima wawe na sehemu yao ya asili, na hapo ndo watu wanashindwa kuwaelewa.
na kama walitokea middle east kabla ya kusambaa huko ulaya kwa nini wanaonekana kama hawana haki ya kuwepo hapo middle east kwa sasa?
 
Umeambiwa maana ya wapalestina ni tofauti na wafilisti pia native filistian sio hao waarabu. Hili andiko mbona limeshiba sana na lina jikamilosha kwa kila jambo.
 
Vema mkuu.
 
Code:
Wayahudi walivyokwenda utumwani Misri , nchi Yao ilikaliwa na Nani?
Yalikaliwa na Esau na kizazi chake,kulwa wa Yakobo(Israel).
Kwa hiyo Esau uzao wake ni wapalestina na wa Yakobo ndio wayahudi
 
na kama walitokea middle east kabla ya kusambaa huko ulaya kwa nini wanaonekana kama hawana haki ya kuwepo hapo middle east kwa sasa?
Kama haiwezekani basi ifute historia uandike yako. Utapata PhD kuja na kitu kipya, hayo niliyokufahamisha yapo mtandaoni wala usipate tabu kutafuta. Tumia google tu.

Siku hizi elimu kiganjani.
 
Unaeleweka sana tu mkuu ila watu wanajitoa ufahamu.
 
Umesema kweli kabisa,ilibidi kwa imani zetu tunazoziamini tuwaombee hawa watu amani iwepo.

Tunasahau tukiondoa tofauti zetu za kuamini vingine vyote tunafanana,bomu akipigwa Muislam maumivu atakayosikia ni sawa na atakayoyasikia Mkristo au asiyekuwa na dini,njaa haina dini,hakuna kifo cha dini fulani vyote tunafanana ni vizuri tuishi kwa kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…