Pongezi kwake Mange Kimambi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kiukweli Nilikuwa naona huyo dada wa IG MANGE KIMAMBI ni kama mdada flani hivi anayefanya mambo Pasi na kufikiria,
Sana sana nilivyokuwa naona hoja zake zenye mashiko lakini zikikosa huwasilishaji bora mpaka kufikia kutumia Matusi wakati wa huwasilishaji.


Nimegundua kitu kwa huyu dada wa IG, kiukweli tuseme au tuponde sawa lakini huyu bi dada wa Kuitwa MANGE KIMAMBI ana Ushawishi mkubwa sana ndani na ata kwa Watanzania waishio nje ya nchi ( Diaspora)


Hili Nimeliona kwenye kampeni anayoindesha huko instagram ya kuchangia mfuko(Fund) ya matibabu ya Mbunge Tundu Lissu.
Kiukweli mambo yako moto na watu wanachangia kwa Speed ya 4G.

Hapa nafikiri kuna kitu cha kujifunza kutoka kwa huyu dada kiukweli ana ushawishi mkubwa sana kwa vijana.

Kama aliendesha kampeni ya kuangalia video ya Seduce me ya Alikiba na ikavunja Record huko You tube(Vevo) kwa kutazamwa sana sidhani kama hiyo kampeni haitafikia lengo .





 
Hii michango inanishangaza saana mimi?sishangazwi na huyu dada na ushawishi wake,nashangazwa na wanaochanga?je zitafikia lengo?naona utapeli hapa,watanzania 5000000 wakichangia 1000 moja tu ni pesa kiasi hicho,je ni za matibabu tu ya lissu,au ni dili la makengeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…