Pongezi kwake Mange Kimambi

Yale matusi anayotukana ndo yaliyompa umaarufu, na ndo u unique wake ambao Madada wengine hatuwezi kufanya
That's true na ndio yaliyompa followers wengi insta japo watu wenye heshima zao(madingi & mamama) ilikuwa vigumu kumuelewa lakini naona sasa anaeleweka tena kwa kasi ata zile tambo za kumponda zimeshuka.
 
Unawashauri nin mkuu?
 
Huyo yeye yake yamemshinda kutwa kumsema dai na zari,apambane na vibabu hko usa
 
Hujalazimishwa kuchanga waache wenye pesa na malengo yao wafanye hivyo wewe soma na usepe.
 
Huyo yeye yake yamemshinda kutwa kumsema dai na zari,apambane na vibabu hko usa

Wewe yako umeyaweza? Kwani anayoongea kuhusu Diamond ni uongo? Aliongea la mtoto wa Hamisa na kweli leo kamkubali, pia aliongea la Diamond kutoka na Dillish wa bigbrother amekanusha Leo lakini badae itafahamika tu
 
Sisepi nasoma na nitachangia ninacho fikiria!wewe kama unazo changa.Wajinga ndio waliwao.
 
Unawashauri nin mkuu?
Kama wameguswa wachange tu,lakini wasijekulalmika baadaye,mkuu watu milioni tano wakichanga buku buku ni shillingi ngapi?hapo nimeweka buku kwa maana ya kuwa wengine watachanga na wengine hawatachanga.watakao changa sio buku buku kwa hyo wale watakaochanga laki laki wanafidia wale wasio changa.We are talking of only 5 million Tanzanians!Be ware of this opportunist!
 
Asante ila mimi siyo mjinga najua ninachofanya na kwa ufahamisho NY inaongoza kwa michango.
Hakuna mahali niliposema msichange,swali unalolikwepa wewe mtu wa NY ni hili hapa.
Je hiyo pesa itafika kwa mgonjwa?je itatumika kwa matibabu yake tu?change inayobaki inaenda wapi?Nani atakayehifadhi hiyo balance?we are talking about big money.Mwana NY piga mahesabu watu milioni 5 wakitoa buku buku ni shilling ngapi?Natoa tu tahadhari kuna mtu kaona dili hapa shauri yako.Watu wametupiwa vitu nje au umesahau?
 
Ukitaka kuchanga we Changa ukifikiria Negative kila siku hautaweza kupiga hatua ata kwenye maendeleo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…