Pongezi Kwao na Kwenu ila kwa sababu hizi Kuu 3 ilikuwa ni lazima tu leo tuadhibiwe na tuumbuke!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
  1. Psychological Blow baada ya Kuumizwa vibaya kwa Mshambuliaji Salah
  2. Schoolboy Goalkeeping kutoka kwa Kipa Karius kwa Kujifunga
  3. Squad Gambling kutoka kwa Kocha Klopp
Inauma sana kwakuwa tuliofungwa ndiyo tuliojaza Uwanja wa kuwepo Mashabiki 47,000 wakati walioshinda walikuwepo 16,000 ndani ya Uwanja. Ni lazima tu Safari ya kurudi England itakuwa ndefu sana labda kama itasindikizwa na tabia yetu ya kupenda Kunywa Pombe na Kulewa sana yaweza ikawa fupi.

Zinedine Zidane alifanikiwa akiwa kama Mchezaji na sasa anatuthibitishia kuwa hata katika Kazi / Jukumu la Ukocha bado pia anabakia kuwa Galacha / Nyota hivyo kama inawezekana basi Waandaaji wa michuano ya UEFA Champions League pamoja na FIFA kwa ujumla wafikirie kuandaa Tuzo ya Kocha bora wa Dunia ambayo sidhani kama hiyo Tuzo ikianzia kwa ' Zizou ' kuna Mtu atakayelalamika au kuhoji.

Hongereni sana mlioshinda ila binafsi kwa machungu makubwa niliyonayo sioni dalili zozote kwa Mimi Kuupata Usingizi kwa muda huu hivyo nashindwa kujua itakuwaje leo kwani Jurgen Klopp ametuchanya sana na aina ya Upangaji wake wa Kikosi kwa leo.

Nawasilisha.
 
Pole sana mkuu na mashabiki/wapenzi wengine Liver.
 
Matatizo ya kuwa na mchezaji mmoja ambae timu ndio inamuangalia sana

Halafu inaonyesha hata Kocha Klopp nae hakuwa na Plan B kama Salah angepatwa na tatizo Timu ingechezaje. Liverpool FC tumefungwa kwa Kosa dogo sana tu la Kiufundi ila Real Madrid hawakutuzidi kivile na ndiyo maana hata Wao pamoja na Kutufunga zile Goli 3 ambazo 2 walizawadiwa na ' Upuuzi ' wa Kipa wetu bado wamelala na Viatu kwani shughuli haikuwa nyepesi kama ambavyo pengine walitarajia.
 
Liver alizidiwa kila kitu uwanjani.kuanzia kumiliki mpira,kupiga pasi,goals.sikuona namna ambayo liver angemfunga Madrid
 
Halafu inaonyesha hata Kocha Klopp nae hakuwa na Plan B kama Salah angepatwa na tatizo Timu ingechezaje. Liverpool FC tumefungwa kwa Kosa dogo sana tu la Kiufundi ila Real Madrid hawakutuzidi kivile na ndiyo maana hata Wao pamoja na Kutufunga zile Goli 3 ambazo 2 walizawadiwa na ' Upuuzi ' wa Kipa wetu bado wamelala na Viatu kwani shughuli haikuwa nyepesi kama ambavyo pengine walitarajia.
Nikweli mkuu plan B ya Salah haikuwepo kabisa ndio maana alivyoshindwa kuendelea kocha hadi mashabiki walionekana kabisa kuchanganyikiwa, na game ikabadirika kabisa
 
  1. Psychological Blow baada ya Kuumizwa vibaya kwa Mshambuliaji Salah
  2. Schoolboy Goalkeeping kutoka kwa Kipa Karius kwa Kujifunga
  3. Squad Gambling kutoka kwa Kocha Klopp
Inauma sana kwakuwa tuliofungwa ndiyo tuliojaza Uwanja wa kuwepo Mashabiki 47,000 wakati walioshinda walikuwepo 16,000 ndani ya Uwanja. Ni lazima tu Safari ya kurudi England itakuwa ndefu sana labda kama itasindikizwa na tabia yetu ya kupenda Kunywa Pombe na Kulewa sana yaweza ikawa fupi.

Zinedine Zidane alifanikiwa akiwa kama Mchezaji na sasa anatuthibitishia kuwa hata katika Kazi / Jukumu la Ukocha bado pia anabakia kuwa Galacha / Nyota hivyo kama inawezekana basi Waandaaji wa michuano ya UEFA Champions League pamoja na FIFA kwa ujumla wafikirie kuandaa Tuzo ya Kocha bora wa Dunia ambayo sidhani kama hiyo Tuzo ikianzia kwa ' Zizou ' kuna Mtu atakayelalamika au kuhoji.

Hongereni sana mlioshinda ila binafsi kwa machungu makubwa niliyonayo sioni dalili zozote kwa Mimi Kuupata Usingizi kwa muda huu hivyo nashindwa kujua itakuwaje leo kwani Jurgen Klopp ametuchanya sana na aina ya Upangaji wake wa Kikosi kwa leo.

Nawasilisha.
Mm mwenyewe I menikera sana ila Ramos ni lihuni sana
 
Hapana madrid alitolewa jasho na juve pekee,hii gemu ya jana ukiilinganisha na ile ya mwisho ya barca na madrid haiingii hata robo ya ubora,liver wanamapungufu mengi sana,walizidiwa kwa mbinu nyingi hasa alipotoka salah

Back
Top Bottom