Tuacheni tuolewe jaman bahati hizi
 
Sijui kwann huwa mnapenda kujifariji na hii kauli, unataka kusema ambaye amezaa maana yake hajawahi kutoa mimba??
Au mimba huwa inakuja mara moja tu?
Wanajifariji sana na kamsemo aka wengine wamefanya uchafu huo mwishowe wameona umri unakwenda bora tu wazae wapate mtoto.

Ww ukiamua kuzaa zaa tu maana mtoto ni baraka na kama upo tyr kwa majukumu ya kulea na ambao hawapo tyr wanatumia sindano, dawa na vitu vingine.

Mungu aliweka mzunguko wa hedhi kwa sababu ya kujua trh salama hivyo hata vitanzi ni chukizo. Acheni kujifariji.
 
Hahaa..sawa
 
Wakuu nimekua niki date na single moms kadhaa mpaka sasa. Ni watamu balaa na mwanzoni atakunyenyekea na kuficha makucha, ila baada ya kuzoeana sasa vitimbi na mizinga inaanza kwa kasi ya ajabu

Wengi ni pasua kichwa, atataka kila kitu umfanyie, umpende yeye na mwanae bila kutambua wewe ni mdhamini wa ligi kuu tu na waweza jiengua any time.

Nisiwe mnafiki kwa hili papuchi zao ziko mukidee ila mizinga tu ndo inayonishinda. Naona nafilisika.

Wenzangu mnao date na hawa watu mnatumia mbinu gani za kivita kulinda penzi?
 
Kwenye njaa sio kweli,asilimia kubwa ya Single mother wana shughuli zao za kuwaingizia vipato.
 
Wote hufurahia uhusiano lakini eti mwanaume ndio pekee aingie gharama! Unyanyasaji wa kijinsia huu!
 
kwenye njaa sidhani maana wao ndio wana shida, sema nini
we jipigie, mizinga ikizidi kata waya, tafuta 'singo maza' ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…