Ndio sis afu dunia ya sasa upate mtu akupe mapenzi yote sio kitu cha kawaida....
Ukiona mzungu anapenda sana nchi flani ya watu weusi basi ujue kuna namna au anamaslahi napo, mi ikitokea mwanamke anakuja kwa kasi ya kimbunga kwanza huwa nachunguza siri ya upendo wake.

Isije kuwa umri wa mwanae kwenda shule umekaribia ananyemelea ADA YA MTOTO. ila kama ni upendo wa kweli ni vyema kumshukuru mungu.
 
Ni swala la muda tu.. subiri ganzi iishe
 
Amen
 
Siku yakikukuta usiache kurudisha mrejesho.
 
Single mother atafanya chochote kwako ili akupate na ukishamuoa utaona rangi take halisi.

Kwanini uoe single mother na visichana vimejaa mtaani unachagua tu
Hata hivyo visichana vitafanya kila kitu ili violewe, rangi zake utaziona Baadaye ya ndoa.

Cha msingi ni kumuomba Mungu akuelekeze mahali sahihi, anaweza kuwa single mother akawa ana akili au akawa kimeo, the applies to hao unaowaita visichana.

All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…