imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mkuu hapo ndio unapoharibu na umeliharibu bandiko lako mwenyewehabari za yale makorokocho ya Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo ndio unapoharibu na umeliharibu bandiko lako mwenyewehabari za yale makorokocho ya Lissu
Point gani !?Naamini pascal ana point nzuri sana, tatizo unamuona kama kibaraka... hata aongee mazuri, huji kumuelewa.
bunge la tz ni hasara kwa taifa, wanatafuna posho tuu...bunge gani linashindwa kutimiza wajibu wake, linachojua ni kusifu serikali.
No mimi na Lissu, hatulingani, japo tulikuwa shule moja Ilboru, mimi nikiwa A level, Lissu alikuwa O-level hivyo kwa Lissu mimi ni Kaka yake, na yeye ni mdogo wangu.Mayalla, wewe na Lissu mnalingana?
Ona aibu mdogo wangu.