bunge la tz ni hasara kwa taifa, wanatafuna posho tuu...bunge gani linashindwa kutimiza wajibu wake, linachojua ni kusifu serikali.
bure kabisa hasa huyo supika.
No mimi na Lissu, hatulingani, japo tulikuwa shule moja Ilboru, mimi nikiwa A level, Lissu alikuwa O-level hivyo kwa Lissu mimi ni Kaka yake, na yeye ni mdogo wangu.
Nimeisha mzungumza sana Lissu humu jf.
P