Ndo maana yakeKumbe ilikuwa copy and paste
Kutoka UgandaKwenye hili la boda boda naomba tutor pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseee.pongeI nyingi sana sana kwake na waliopitisha sheria pia kuruhusu matumizi yake
Kwenye hili la boda boda naomba tutoe pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria.
Ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseepo
pongezi nyingi sana sana kwake na waliopitisha sheria pia kuruhusu matumizi yake.
ndio aliruhusu hii kitu