Majaliwa alitakiwa kung'atuka mara baada ya kusema rais mzima yupo Ikulu anachapa kazi, wakati rais yupo Mzena anajifia.Hakika amefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Ameng'atuka kwa heshima kubwa, daima tutaendelea kumheshimu kwa utumishi wake ulio tukuka sio tu kwa wana Ruangwa bali kwa Taifa lote kwa ujumla.
SHINIKIZOHakika amefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Ameng'atuka kwa heshima kubwa, daima tutaendelea kumheshimu kwa utumishi wake ulio tukuka sio tu kwa wana Ruangwa bali kwa Taifa lote kwa ujumla.
Sasa kama viongozi wote hawana credibility mnahoji na kushangaa nini wakijibiduabidua?Mkuu mambo ya credibility na viongozi wa Tanzania wapi na wapi.
Hata chura mwenyewe hiyo credibility hana!
Una hakika kang'atuka ama kang'atuliwa by fosi by pawa!?Hakika amefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Ameng'atuka kwa heshima kubwa, daima tutaendelea kumheshimu kwa utumishi wake ulio tukuka sio tu kwa wana Ruangwa bali kwa Taifa lote kwa ujumla.
Wa Kongwa na Ismani wangeiga mfano huo,wamekosa tuu na vijana wanao!Hakika amefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Ameng'atuka kwa heshima kubwa, daima tutaendelea kumheshimu kwa utumishi wake ulio tukuka sio tu kwa wana Ruangwa bali kwa Taifa lote kwa ujumla.
Una tabia ya kutaja katiba halafu ukiulizwa kifungu gani hujibu.Kiuhalisia hajang'atuka kwa heshima, AMENG'ATULIWA KWA FEDHEHA.
Kama Majaliwa alitaka aonekane ameng'atuka, tuna kuwe kwa heshima ilipaswa iwe kwenye vipindi hivi;
1. Mara jiwe alipofariki dunia na Samia kuapishwa. Kikatiba, uwaziri mkuu wa Majaliwa ulikuwa umefika kikomo na automatically alipaswa pale pale kutangaza kung'atuka.
2. Mara mambo yalipoanza kwenda kombo. Wizi na ufisadi uliposhika hatamu katika serikali ya Samia.
3. Wiki iliyopita wakati akilihutubia bunge kwa mara ya mwisho, alipaswa kutangaza kutokugombea tena ubunge na kukaa benchi.