Afu hapo mwisho mwisho, umeona vile botswana hawana majumba marefu lakini mji uko sawa kabisa!!!! mji msafi unapendeza na umejengwa vizuri........
Alafu kwa wale hupenda kusema kenya haikusaidia nchi yoyote wakati za uhuru, skiliza hapo rais wa botswana akitoa shukrani kwa Kenya akisema tuliwasaidia hapo zamani na pia baada ya uhuru kwa mambo ya ufanyikazi wa umma, madaktari, mambo ya ulinzi(Jeshi), masomo....nk