Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Naam, Naskia Raha sana baada ya kuona hii
Nataka ni pongeze PSCU digital ambao ndo hu husika na upigaji wa picha na video za rais. Leo hii nimeona wameeweka video hio hapo juu kwa facebook page ya Rais, nimeiangalia na kuridhika kabisa, hili ni jambo zuri sana, naomba hii iwe ni desturi, kila wiki waweke maandishi na video ya yote muhimu yaliyo fanywa na rais ama wafanyikazi wake kimaendeleo ili wananchi wajue na kufahamu maendeleo ya nchi na ya ulimwengu yanayo husisha kenya.