Mao Tanzania
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 210
- 231
Wasalamu wana Jukwaa!
Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito.
Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA.
Mwanzo mwanzo wakati akiliongelea hili niliona Kama Ni utani ukizingatia tuliwahi kuwa na wabunge ambao ni Mkuu wa Wilaya, na Muda huo huo amepewa kukaimu ukuu wa Mkoa. Ilikuwa ni mtu mmoja vyeo 4 hadi vi4.
Leo ameweka bayana kuwa Kama unaenda jimboni basi achia nafasi uliyonayo. Leo amesema wanaoenda jimboni waachie nafasi zao. Na wanaoomba ruhusa nafasi zao zimechukuliwa. HILI NI JIPYA NA KUBWA KATIKA UTUMISHI WA WILAYA
Sasa basi Mawaziri Nao waige jambo hili jema, Mnao wakurugenzi katika maeneo yenu ya Taasisi zenu. Watanzania wako wengi na wanaweza kutimiza majukumu yao. Tuwape nafasi. TENDENI KAMA RAIS MAGUFULI KATIKA NAFASI ZENU.
Wanaoenda majimboni waende, Ofisi wapewe wasio na nia za siasa ili wamsaidie Mh. Rais.
Mashirika ya Umma, Wakala za Serikali, na Mamlaka kadhaa wako watu. Kipindi hiki Cha Uchaguzi kinahitaji utendaji uendeleee.
Pongezi Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma