Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalamu wana Jukwaa!
Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito.
Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA.
Mwanzo mwanzo wakati akiliongelea hili niliona Kama Ni utani ukizingatia tuliwahi kuwa na wabunge ambao ni Mkuu wa Wilaya, na Muda huo huo amepewa kukaimu ukuu wa Mkoa. Ilikuwa ni mtu mmoja vyeo 4 hadi vi4.
Leo ameweka bayana kuwa Kama unaenda jimboni basi achia nafasi uliyonayo. Leo amesema wanaoenda jimboni waachie nafasi zao. Na wanaoomba ruhusa nafasi zao zimechukuliwa. HILI NI JIPYA NA KUBWA KATIKA UTUMISHI WA WILAYA
Sasa basi Mawaziri Nao waige jambo hili jema, Mnao wakurugenzi katika maeneo yenu ya Taasisi zenu. Watanzania wako wengi na wanaweza kutimiza majukumu yao. Tuwape nafasi. TENDENI KAMA RAIS MAGUFULI KATIKA NAFASI ZENU.
Wanaoenda majimboni waende, Ofisi wapewe wasio na nia za siasa ili wamsaidie Mh. Rais.
Mashirika ya Umma, Wakala za Serikali, na Mamlaka kadhaa wako watu. Kipindi hiki Cha Uchaguzi kinahitaji utendaji uendeleee.
Pongezi Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma
Jikite kwenye hojaYy mbn alitia nia ya ubunge akiwa mwalimu mtumishi wa uma...
Hao wanaolia tuliwaambia tuwe na Katiba mpya, wakapuuza kwa kuwa wanapata vijiposho uchwara, ndo Hao kutwa wanamsifu na kuabuduYy mbn alitia nia ya ubunge akiwa mwalimu mtumishi wa uma...
Walimu wenzake huko wanakufa njaa.Ana dhambi huyo mtu wenu
Hamna lolote,mambo ni yale yale tu.Iko mitazamo mingi katika hili, Lkn anastahili pongezi
1. Amepunguza Sana kuvuja kwa pesa ya Umma kupitia mishahara hewa, wasio na sifa stahiki na kuwahi kwa mishahara
2. Uwajibikaji wa watumishi wa Umma kwa jamii umeongezeka. Hofu ya watendaji imesaidia watu kutulia maofisini. Zamani ilikuwa afisa anaenda kunywa chai saa 4 anarudi kufunga ofc
3. Ameweka wazi kutoongeza mishahara ili kujenga nchi, ikiwemo kufuta Safari za nje ambazo hazikuwa na umuhimu
Lkn pia sio lazima wote tuwe na mitazamo Sana. Matusi Ni kielelezo Cha kukosa hoja
Hao wanaolia tuliwaambia tuwe na Katiba mpya, wakapuuza kwa kuwa wanapata vijiposho uchwara, ndo Hao kutwa wanamsifu na kuabudu
Jikite kwenye hoja
https://www.facebook.com/pg/Mange-Kimambi-154733101922993/posts/Wasalamu wana Jukwaa!
Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito.
Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA.
Mwanzo mwanzo wakati akiliongelea hili niliona Kama Ni utani ukizingatia tuliwahi kuwa na wabunge ambao ni Mkuu wa Wilaya, na Muda huo huo amepewa kukaimu ukuu wa Mkoa. Ilikuwa ni mtu mmoja vyeo 4 hadi vi4.
Leo ameweka bayana kuwa Kama unaenda jimboni basi achia nafasi uliyonayo. Leo amesema wanaoenda jimboni waachie nafasi zao. Na wanaoomba ruhusa nafasi zao zimechukuliwa. HILI NI JIPYA NA KUBWA KATIKA UTUMISHI WA WILAYA
Sasa basi Mawaziri Nao waige jambo hili jema, Mnao wakurugenzi katika maeneo yenu ya Taasisi zenu. Watanzania wako wengi na wanaweza kutimiza majukumu yao. Tuwape nafasi. TENDENI KAMA RAIS MAGUFULI KATIKA NAFASI ZENU.
Wanaoenda majimboni waende, Ofisi wapewe wasio na nia za siasa ili wamsaidie Mh. Rais.
Mashirika ya Umma, Wakala za Serikali, na Mamlaka kadhaa wako watu. Kipindi hiki Cha Uchaguzi kinahitaji utendaji uendeleee.
Pongezi Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma
Baadae utakuja kulalamika serikali haiajiri .watanzania alieturoga sijui nj naniNje ya mada: Hivi kwenye Halmashauri/ Wilaya moja kuna mkuu wa wilaya (DC), Kuna Mkurugenzi mtendaji (DED) kuna Mbunge (MP), kuna afisa tawala (DAS). Hivi hao woooote wanakazi gani? Mbona kama ni kusababisha mgongano wa kimamlaka na kuwekeana mabifu ambayo hayana maana?
Mkuu kwenye hili hapana hao watu unaowatetea nafasi za kuwatumikia wananchi ili walete maendeleo wanazo Ila wanataka ubunge kwa ajili ya MASLAHI yao binafsi sio taifa kwa ujumla kwaio ni watu hatari Sana kwa taifa hili ndo maana wakipata ubunge hawaendi kuwasemea wananchi kule .Acha mh. Rais awatoe nafasi hizo wapewe wengine naoSiungi mkono hoja, kuweka zuio kwa watumishi kutimiza haki yao ya kikatiba kuchaguliwa ni kulikabidhi taifa kwa aina ileile ya wabunge ambao wengi hawajapata exposure ya utendaji kazi wa ngazi mbalimbali na pia hawajui kwa undani mahitaji ya watanzania waliopo katika makundi hayo yaliyopigwa marufuku.
Kwa lugha rahisi ni kwamba, wanaoruhusiwa kugombea ni wastaafu, waliochoka kazi zao, graduates ambao bado hawajapata ajira popote, wasomi wenye elimu ya kati na wasio na elimu kabisa ambao wapo mtaani bila kazi ama kujiajiri.
Makundi haya tunategemea yakalete mabadiliko ya sera wasizozifahamu?
Wewe ndo kwenye kila post inaymuhusu Membe unaingia na ku comment apitishwe na upinzani . Umeona huku umejidhihirisha kumbe ni li agent lililokubuhu la kijani.Ahsante baba Magu.kazi zako zinaonekana.
Wapo watakaoruhusiwa bila kuwa replaced na wapo watao fyekwa baada ya kuruhisiwa.
Kila mmoja ajipime ana ushawishi gani ndani ya Chama.
Kwa mfano Kasesela Mkuu wa Wilaya Iringa, akijaribu tu... 😂😂😂😂 kwaherii.
Ila DAB...!??
Ndiyo maana wanajiongezea Kinga ...... Ulishaona wapi mpaka Spika anapewa kinga ....!!?Siyo kweli huyo ni MWIZI sana. CAG Assad aliandika katika ripoti ya 2017/2018 kwamba 1.5 trillions zimetoweka hazina na hawakupewa maelezo ya kuridhisha. CAG Kachere katika ripoti yake 2018/2019 aliandika 1.2 trillions zimetoweka hazina na hakupewa maelezo ya kuridhisha.
Hizo 2.7 trillions ni pesa nyingi sana ambazo kwa mtu ANAYEJALI angeunda tume huru ili ifanye uchunguzi wa kina lakini ALIGOMA.
Achilia mbali mabilioni anayochota bila idhini ya Bunge kununua wabunge madiwani na trillions alizochota kufanya manunuzi yasiyo na tija kwa Watanzania kwa mfano kununua ndege ambazo sasa zinapigwa vumbi airport na kuingiza hasara ya mabilioni na madudu mengine chungu nzima.
Acha KUKURUPUKA na kuandika habari ambazo SI KWELI.
Vyeo vyote hivi viko kisheria na kuna job description wanagonganaje sasa?Nje ya mada: Hivi kwenye Halmashauri/ Wilaya moja kuna mkuu wa wilaya (DC), Kuna Mkurugenzi mtendaji (DED) kuna Mbunge (MP), kuna afisa tawala (DAS). Hivi hao woooote wanakazi gani? Mbona kama ni kusababisha mgongano wa kimamlaka na kuwekeana mabifu ambayo hayana maana?