Pongezi Rais Magufuli kuboresha Utumishi wa Umma, Watia nia kuachia ofisi: Mawaziri Igeni

Yy mbn alitia nia ya ubunge akiwa mwalimu mtumishi wa uma...
 

Watu kama nyie ndo tatizo namba moja nchi hii
 
Hamna lolote,mambo ni yale yale tu.
 
Wapo watakaoruhusiwa bila kuwa replaced na wapo watao fyekwa baada ya kuruhisiwa.

Kila mmoja ajipime ana ushawishi gani ndani ya Chama.

Kwa mfano Kasesela Mkuu wa Wilaya Iringa, akijaribu tu... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwaherii.
Ila DAB...!??
 
https://www.facebook.com/pg/Mange-Kimambi-154733101922993/posts/
 
Hii ipo long time sema walioshikwa sana na hii sheria ni walioenda kupitia upinzani.
 
Baadae utakuja kulalamika serikali haiajiri .watanzania alieturoga sijui nj nani
 
Mkuu kwenye hili hapana hao watu unaowatetea nafasi za kuwatumikia wananchi ili walete maendeleo wanazo Ila wanataka ubunge kwa ajili ya MASLAHI yao binafsi sio taifa kwa ujumla kwaio ni watu hatari Sana kwa taifa hili ndo maana wakipata ubunge hawaendi kuwasemea wananchi kule .Acha mh. Rais awatoe nafasi hizo wapewe wengine nao
 
Ahsante baba Magu.kazi zako zinaonekana.
Wewe ndo kwenye kila post inaymuhusu Membe unaingia na ku comment apitishwe na upinzani . Umeona huku umejidhihirisha kumbe ni li agent lililokubuhu la kijani.

Polee sana umefeli tayari!
 

Kwa Sasa ameweka wazi kanuni atakayotumia
 
Ndiyo maana wanajiongezea Kinga ...... Ulishaona wapi mpaka Spika anapewa kinga ....!!?

Time will tell.
 
Reactions: BAK
Vyeo vyote hivi viko kisheria na kuna job description wanagonganaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…