Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

Yes kwa wanaharakati uoga ni aibu lakini kwa wazalendo wa kweli huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako kwa kuwa more responsible na Patriotism.
P
 
Tuwe tunasoma na vipengele vidogovidogo hii inaonyesha mwaka 2000-2011 Magufuli anaingiaje hapa?

Kwa ufupi wanasema hivi baada ya 2011 Tz hakuna maendeleo
Tu maskini tangu 2011 thru Present
 
Tuwe tunasoma na vipengele vidogovidogo hii inaonyesha mwaka 2000-2011 Magufuli anaingiaje hapa?

Kwa ufupi wanasema hivi baada ya 2011 Tz hakuna maendeleo
Tu maskini tangu 2011 thru Present
Paschali amejaribu kuitetea hiyo hoja yake kwa maelezo dhaifu sana eti "Pamoja na kwamba ripoti ni yakuishia 2011 lakini imetoka mwaka 2019 hivyo rais aliyeko madarakani ndie anastahili pongezi" huo ndio usomi wa Paschali, ni shida Tz hii
 
Tuwe tunasoma na vipengele vidogovidogo hii inaonyesha mwaka 2000-2011 Magufuli anaingiaje hapa?

Kwa ufupi wanasema hivi baada ya 2011 Tz hakuna maendeleo
Tu maskini tangu 2011 thru Present
No Mkuu Pakawa, the sampling period is 15 years span from 2000-2015, the report is 2019. Tanzania ndio imeongoza kwa mwaka huu. Report kama hii hutolewa kila mwaka, Tanzania haijawahi kuongoza ndio mwaka huu.

Ukifanywa sampling ya nchi zilizopata mvua kubwa in 15-year span, Ripoti ikatolewa mwaka huu na kuonyesha Tanzania inaongoza, pongezi atapewa Magufuli japo siye yeye aliyeleta mvua na kwenye data, the contributing factors ni zile mvua za elnino. As long as ripoti imetoka mwaka huu wa 2019, pongezi ni kwa serikali iliyopo Madarakani sasa.
P
 
So, ikitoka ripoti nyingine hapo mwaka 2035 wakati huo tukiwa na rais mwingine (kama huyu hatang'ang'ania) atapongezwa nani ?, huyu wa sasa kwa mafanikio au atakaekuwa ameingia madarakani ?
 
Mkuu basi pongezi ziende kwa Mkapa na JK sio Magufuli that's the fact
Yeye asubiri miaka mingine 15 tutamsifiaaaa au tutamlaumuuu!
 
Paschali amejaribu kuitetea hiyo hoja yake kwa maelezo dhaifu sana eti "Pamoja na kwamba ripoti ni yakuishia 2011 lakini imetoka mwaka 2019 hivyo rais aliyeko madarakani ndie anastahili pongezi" huo ndio usomi wa Paschali, ni shida Tz hii
Validity ya ripoti zote ni the date of publications.
Ikifanywa research ya kwanza kwenda aga za juu, nchi itakayo shinda ni Urusi kupitia safari ya Yuri Gagarin. The date of publication ikiwa ni leo, pongezi anapewa rais wa Urusi wa sasa.
P
 
Mkuu Paskal umeanza lini propaganda?! Huo wakati mbona JPM hakuwa raisi, sasa wewe unapongeza nini babalai?! Acheni sifa bro, wasomi mmekua bure kabisa, tena hovyo kuliko watu wa darasa pa saba.
 
So, ikitoka ripoti nyingine hapo mwaka 2035 wakati huo tukiwa na rais mwingine (kama huyu hatang'ang'ania) atapongezwa nani ?, huyu wa sasa kwa mafanikio au atakaekuwa ameingia madarakani ?
Atapongezwa rais aliyepo Madarakani wakati huo.
P
 
Mkuu Paskal umeanza lini propaganda?! Huo wakati mbona JPM hakuwa raisi, sasa wewe unapongeza nini babalai?! Acheni sifa bro, wasomi mmekua bure kabisa, tena hovyo kuliko watu wa darasa pa saba.
Mkuu Msnajo, ripoti ni ya mwaka huu, 2019. Hivyo pongezi ni kwa the current regime.
Unaweza kuwa umeikwaa HIV 2010, ukaanza kutumia concoction mbalimbali toka kwa waganga tofauti tofauti, mwaka 2015 ukatibiwa na prof. Maji Marefu cure yake slow ukinywa leo unapona baada ya miaka 4, hivyo kufikia 2019 ile dawa ya Maji Marefu ikakuponya. Bila wewe kupima ukasikia tangazo la Bulldozer Mwamposa ana maji ya uzima yanatibu kila kitu, ukaenda ukanywa, ulipopima, ukajikuta umepona, utamshukuru nani?.
P
 
Inamana hujaona iyo 2000-2011 dah Mim cina degree hata moja ila nailaum elim ya tz
 
Mkuu Msnajo, ripoti ni ya mwaka huu, 2019. Hivyo pongezi ni kwa the current regime.
P

Mkuu hiyo report inasema "Between 2000 and 2015, 15 countries lifted 802.1 million people out of extreme poverty". Ninachoona hapo ni kwamba, utafiti ulifanyika hicho kipindi, ila report ndo imetolewa mwaka huu. Sijaona mahali imesema 2015-2019, kama nimekosea nieleweshe mkuu
 
Mwandishi unayejiita Nguli wa uandishi huwezi kufanya haya bado tukakuita unvyotaka kuitwa. Takwimu za Tanzania ni za 2000-2011 ambapo inahusisha miaka ya Mkapa na Kikwete. Ni miaka ambayo maendeleo ya watu yalitiliwa mkazo kuliko maendeleo ya vitu, sasa unapokuja kusifia utawala wa "KUBORESHA CHATO" kwa kutumia takwimu za utawala mwingine tukuiteje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You very right, utafiti ni Between 2000-2015 nchi 15 zimeondoa watu milioni 800 kutoka katika umasikini uliotopea, Tanzania ndio imeongoza kwa kutoa watu wengi zaidi. Kwa vile ripoti ni ya mwaka huu, nchi kinara inayoongoza dunia kwenye ripoti hii ni Tanzania, pongezi zinakwenda kwa utawala wa Tanzania wa sasa 2019 wakati ripoti inatoka.
P
 
sawa mkuu hiyo niripoti ya kwenye makaratasi je kwa akili unaonaje umasikini umepungua au umeeongezeka mana za kuambiwa changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mbona hiyo data ya 2000-2011. hapo Magufuli anaingiaje tena?
 
hiyo ni kijidhalilisha kamanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…