Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Fanya Ku quote matusi niliyomtukana!!! Mayalla namjua, na haya anayoyafanya nayajua! Kamwe siwezi mtukanaLkn unamjua kwa kiasi hicho hadi uweze kumtukana hivyo kisa kuandika tu usichopendezwa nacho?
Yes wanyonge ndio hao masikini. Watanzania wengi wana mashamba na mifugo ambazo ni rasilimali, lakini bado wanaishi kinyonge na kwenye umasikini uliotopea kwasababu hizo rasilimali zao, hazijarasimishwa ni assets tuu lakini hawawezi kuzi turn in current assets, TASAF inagawa fedha hard cash kunusuru kaya masikini, wakati MKURABITA, unarasimisha rasilimali na biashara za wanyonge kuwa rasmi kuwaweza kuzi turn in current assets.Hivi Wanyonge ndio hao hao Masikini, au haya ni Makundi mawili tofauti?
Fanya Ku quote matusi niliyomtukana!!! Mayalla namjua, na haya anayoyafanya nayajua! Kamwe siwezi mtukana
Unadhani watanzania wanapenda kukuona unapanda jukwaani na makaratasi kuwasomea data za uchumi, hiyo ni credit tu kwa Wasomi ambao hata si wapiga kura?Wanabodi,
Naendelea kusisitiza kwenye mazuri, tupongeze, kwenye mabaya tukosoe,kwenye maovu tulaani, kwenye mapungufu tushauri na kutoa mapendekezo.
Leo nilikuwa napitia ripoti ya Benki ya Dunia(WB) kuhusu hatua ambazo zimechukuliwa na nchi mbalimbali kupunguza umasikini uliotopea, I was surprised kukuta Tanzania ndio nchi ya kwanza inayoongoza duniani kwa kupiga hatua kubwa zaidi kuondoa umasikini uliotopea, hivyo japo data ni miaka iliyopita, lakini ripoti ni mwaka huu!, hapa tunajadili ripoti ya 2019 na sio data ni za lini, hivyo Rais Magufuli na serikali yake ya Awamu ya Tano, wanastahili pongezi za dhati kwa kufanya maajabu makubwa kabisa katika vita dhidi ya umasikini uliotopea kwa kupiga hatua kubwa zaidi kupunguza idadi ya familia zilizokuwa zinaishi chini ya kipato cha dola moja kwa siku.
Ripoti hiyo ni hii
View attachment 1304778Year in Review: 2019 in 14 Charts
These charts highlight some remarkable achievements and the serious challenges that remain as we head into 2020.t.newsletterext.worldbank.org
Hata Hivyo, Ripoti ambayo ni ya mwaka huu 2019 imeonyesha data za Tanzania kuongoza kwa kupungunguza umasikini uliotopea, zilikusanywa katika kipindi cha miaka 10 tangu 2000 hadi 2011 ila haikusema in details, Tanzania imefanya nini katika kupunguza umasikini huo, naomba tuisome ripoti hii kwa kanuni ya "the end justify the means, kwasababu kwa sasa Tanzania ni Tanzania ya Magufuli, na Tanzania ndio inayoongoza kwa kupunguza umasikini, regardless ni kipindi cha nani umasikini huo ulipungua, as long as ripoti ndio imetoka sasa na Tanzania tunaongoza, then ni haki na halali kabisa pongezi hizi ziende kwa Magufuli na awamu yake ya tano, ila pia kwa vile najua kuna kazi nzuri inayofanywa na TASAF, kwenye ule mpango wa kunusuru kaya masikini, huku MKURABITA, ukirasimisha rasilimali na biashara za wanyonge, na hatua nyingine mbalimbali zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya tano katika kupunguza umasikini na kuinua kipato.
Wajameni, taarifa hii ni kwa mujibu wa datas za kuaminini za WB, maana humu jf kumezuka mtindo wa kubeza tuu kila kizuri kinachofanywa na awamu hii. Kwa vile mimi sio mchumi, hata ule ukuaji wa uchumi wa taifa wa zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ulikuwa unanitatiza kwa sababu nikiangalia hali halisi huku mitaani mambo yanakuwa ni magumu sana, na kujiuliza huo ukuaji wa uchumi wa zaidi asilimia 7% unamfaidia nani, ni mpaka mchumi wetu Number 1 aliponifafanulia ndipo nikaelewa.
Hivyo hata bandiko hili, kama familia yako sii miongoni mwa kaya zinazoishi kwa kipato cha chini ya dola 1 kwa siku, unaweza usielewe kuwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano, wanafanya mambo makubwa mazuri ya kuleta maendeleo kwa taifa letu.
Hongera rana rais Magufuli na kikosi kazi chako cha awamu ya 5, inawezekana kabisa sisi Watanzania, tusione, lakini kama World Bank wameona, dunia imeona, wasioona sasa wataonyeshwa.
Na kwa vile mwaka ujao ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kuna wanasiasa ambao watapanda jukwaani na kujinadi kuwamkituchagua tutafanya hiki na hiki na hiki, lakini kuna wengine, watapanda jukwaani sio tuu kusema, bali kuonyesha walichofanya, hivyo naomba kuwaandaa watu kisaikolojia, usije kufika muda huo, watu ambao hawana chochote cha kuonyesha kuwa wamefanya, watakatakiwa kupanda kilingeni na watu wenye good track records za waliyoyafanya, kisha wasio na kitu wakaamua kuweka tena mpira kwapani, nashauri tuu, lets save time, money and resources, kama Watanzania tunachotaka ni maendeleo, na maendeleo hayo yanapatikana, yanaonekanika, then kwa nini tusiwaache tuu tuendelee tuu bila kufanya ....
naomba nisimalizie watu wasije kuniparura bure humu.
Nawatakia maandalizi mema ya kuingia 2020!.
Paskali
Kaka chakula ambacho hujapika hustahili kupewa pongezi kwa kuwa kitamu au ni kama kusifiwa una mtoto mzuri wakati mimba ni ya mwingine. Bro hata kuona huoni kwamba bado miaka 4 mpaka yeye akaingia madarakani? I knew you as a person who will give credit when it is due and criticism when it is also due. Today i think you put all those to rest with on one JF writting. Giving credit for something someone doesn't deserve.Wanabodi,
Naendelea kusisitiza kwenye mazuri, tupongeze, kwenye mabaya tukosoe,kwenye maovu tulaani, kwenye mapungufu tushauri na kutoa mapendekezo.
Leo nilikuwa napitia ripoti ya Benki ya Dunia(WB) kuhusu hatua ambazo zimechukuliwa na nchi mbalimbali kupunguza umasikini uliotopea, I was surprised kukuta Tanzania ndio nchi ya kwanza inayoongoza duniani kwa kupiga hatua kubwa zaidi kuondoa umasikini uliotopea, hivyo japo data ni miaka iliyopita, lakini ripoti ni mwaka huu!, hapa tunajadili ripoti ya 2019 na sio data ni za lini, hivyo Rais Magufuli na serikali yake ya Awamu ya Tano, wanastahili pongezi za dhati kwa kufanya maajabu makubwa kabisa katika vita dhidi ya umasikini uliotopea kwa kupiga hatua kubwa zaidi kupunguza idadi ya familia zilizokuwa zinaishi chini ya kipato cha dola moja kwa siku.
Ripoti hiyo ni hii
View attachment 1304778Year in Review: 2019 in 14 Charts
These charts highlight some remarkable achievements and the serious challenges that remain as we head into 2020.t.newsletterext.worldbank.org
Hata Hivyo, Ripoti ambayo ni ya mwaka huu 2019 imeonyesha data za Tanzania kuongoza kwa kupungunguza umasikini uliotopea, zilikusanywa katika kipindi cha miaka 10 tangu 2000 hadi 2011 ila haikusema in details, Tanzania imefanya nini katika kupunguza umasikini huo, naomba tuisome ripoti hii kwa kanuni ya "the end justify the means, kwasababu kwa sasa Tanzania ni Tanzania ya Magufuli, na Tanzania ndio inayoongoza kwa kupunguza umasikini, regardless ni kipindi cha nani umasikini huo ulipungua, as long as ripoti ndio imetoka sasa na Tanzania tunaongoza, then ni haki na halali kabisa pongezi hizi ziende kwa Magufuli na awamu yake ya tano, ila pia kwa vile najua kuna kazi nzuri inayofanywa na TASAF, kwenye ule mpango wa kunusuru kaya masikini, huku MKURABITA, ukirasimisha rasilimali na biashara za wanyonge, na hatua nyingine mbalimbali zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya tano katika kupunguza umasikini na kuinua kipato.
Wajameni, taarifa hii ni kwa mujibu wa datas za kuaminini za WB, maana humu jf kumezuka mtindo wa kubeza tuu kila kizuri kinachofanywa na awamu hii. Kwa vile mimi sio mchumi, hata ule ukuaji wa uchumi wa taifa wa zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ulikuwa unanitatiza kwa sababu nikiangalia hali halisi huku mitaani mambo yanakuwa ni magumu sana, na kujiuliza huo ukuaji wa uchumi wa zaidi asilimia 7% unamfaidia nani, ni mpaka mchumi wetu Number 1 aliponifafanulia ndipo nikaelewa.
Hivyo hata bandiko hili, kama familia yako sii miongoni mwa kaya zinazoishi kwa kipato cha chini ya dola 1 kwa siku, unaweza usielewe kuwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano, wanafanya mambo makubwa mazuri ya kuleta maendeleo kwa taifa letu.
Hongera rana rais Magufuli na kikosi kazi chako cha awamu ya 5, inawezekana kabisa sisi Watanzania, tusione, lakini kama World Bank wameona, dunia imeona, wasioona sasa wataonyeshwa.
Na kwa vile mwaka ujao ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kuna wanasiasa ambao watapanda jukwaani na kujinadi kuwamkituchagua tutafanya hiki na hiki na hiki, lakini kuna wengine, watapanda jukwaani sio tuu kusema, bali kuonyesha walichofanya, hivyo naomba kuwaandaa watu kisaikolojia, usije kufika muda huo, watu ambao hawana chochote cha kuonyesha kuwa wamefanya, watakatakiwa kupanda kilingeni na watu wenye good track records za waliyoyafanya, kisha wasio na kitu wakaamua kuweka tena mpira kwapani, nashauri tuu, lets save time, money and resources, kama Watanzania tunachotaka ni maendeleo, na maendeleo hayo yanapatikana, yanaonekanika, then kwa nini tusiwaache tuu tuendelee tuu bila kufanya ....
naomba nisimalizie watu wasije kuniparura bure humu.
Nawatakia maandalizi mema ya kuingia 2020!.
Paskali
Mgeni anapokuja nyumbani, akala akashiba, anamshukuru mwenyeji. Hata house girl wa Kitanga, akipika mahanjumati kama samaki wa nazi wa kupaka kwenye familia ya Wachagga, mgeni akila na kufurahia chakula pongezi ni kwa mama mwenye nyumba wa Kichagga na sio house girl wa Kitanga.Kaka chakula ambacho hujapika hustahili kupewa ppongezi kwa kuwa kitamu
narudia wewe pia ni mpumbavu usie na akili.Unatukana watu hata usiowajua kisa kaandika tu usivyopenda wewe? Unahitaji therapy wewe, ukiendelea hivyo bila ya therapy utakuja kujiuwa tu siku.
Mimi ni Msukuma, Wasukuma ndio tunaongoza kwa heshima na unyenyekevu. Hivyo sina dharau kabisa, tena yangefanywa mashindano humu jf kwa watu wanaoongoza kwa kutoa likes, mimi nimo, hata ukinitukana, nakugongea like.
Makala zako ndefu hazina mvuto ni Yale Yale tu. Badilisha style ya uandishiWanabodi,
Naendelea kusisitiza kwenye mazuri, tupongeze, kwenye mabaya tukosoe,kwenye maovu tulaani, kwenye mapungufu tushauri na kutoa mapendekezo.
Leo nilikuwa napitia ripoti ya Benki ya Dunia(WB) kuhusu hatua ambazo zimechukuliwa na nchi mbalimbali kupunguza umasikini uliotopea, I was surprised kukuta Tanzania ndio nchi ya kwanza inayoongoza duniani kwa kupiga hatua kubwa zaidi kuondoa umasikini uliotopea, hivyo japo data ni miaka iliyopita, lakini ripoti ni mwaka huu!, hapa tunajadili ripoti ya 2019 na sio data ni za lini, hivyo Rais Magufuli na serikali yake ya Awamu ya Tano, wanastahili pongezi za dhati kwa kufanya maajabu makubwa kabisa katika vita dhidi ya umasikini uliotopea kwa kupiga hatua kubwa zaidi kupunguza idadi ya familia zilizokuwa zinaishi chini ya kipato cha dola moja kwa siku.
Ripoti hiyo ni hii
View attachment 1304778Year in Review: 2019 in 14 Charts
These charts highlight some remarkable achievements and the serious challenges that remain as we head into 2020.t.newsletterext.worldbank.org
Hata Hivyo, Ripoti ambayo ni ya mwaka huu 2019 imeonyesha data za Tanzania kuongoza kwa kupungunguza umasikini uliotopea, zilikusanywa katika kipindi cha miaka 10 tangu 2000 hadi 2011 ila haikusema in details, Tanzania imefanya nini katika kupunguza umasikini huo, naomba tuisome ripoti hii kwa kanuni ya "the end justify the means, kwasababu kwa sasa Tanzania ni Tanzania ya Magufuli, na Tanzania ndio inayoongoza kwa kupunguza umasikini, regardless ni kipindi cha nani umasikini huo ulipungua, as long as ripoti ndio imetoka sasa na Tanzania tunaongoza, then ni haki na halali kabisa pongezi hizi ziende kwa Magufuli na awamu yake ya tano, ila pia kwa vile najua kuna kazi nzuri inayofanywa na TASAF, kwenye ule mpango wa kunusuru kaya masikini, huku MKURABITA, ukirasimisha rasilimali na biashara za wanyonge, na hatua nyingine mbalimbali zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya tano katika kupunguza umasikini na kuinua kipato.
Wajameni, taarifa hii ni kwa mujibu wa datas za kuaminini za WB, maana humu jf kumezuka mtindo wa kubeza tuu kila kizuri kinachofanywa na awamu hii. Kwa vile mimi sio mchumi, hata ule ukuaji wa uchumi wa taifa wa zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ulikuwa unanitatiza kwa sababu nikiangalia hali halisi huku mitaani mambo yanakuwa ni magumu sana, na kujiuliza huo ukuaji wa uchumi wa zaidi asilimia 7% unamfaidia nani, ni mpaka mchumi wetu Number 1 aliponifafanulia ndipo nikaelewa.
Hivyo hata bandiko hili, kama familia yako sii miongoni mwa kaya zinazoishi kwa kipato cha chini ya dola 1 kwa siku, unaweza usielewe kuwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano, wanafanya mambo makubwa mazuri ya kuleta maendeleo kwa taifa letu.
Hongera rana rais Magufuli na kikosi kazi chako cha awamu ya 5, inawezekana kabisa sisi Watanzania, tusione, lakini kama World Bank wameona, dunia imeona, wasioona sasa wataonyeshwa.
Na kwa vile mwaka ujao ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kuna wanasiasa ambao watapanda jukwaani na kujinadi kuwamkituchagua tutafanya hiki na hiki na hiki, lakini kuna wengine, watapanda jukwaani sio tuu kusema, bali kuonyesha walichofanya, hivyo naomba kuwaandaa watu kisaikolojia, usije kufika muda huo, watu ambao hawana chochote cha kuonyesha kuwa wamefanya, watakatakiwa kupanda kilingeni na watu wenye good track records za waliyoyafanya, kisha wasio na kitu wakaamua kuweka tena mpira kwapani, nashauri tuu, lets save time, money and resources, kama Watanzania tunachotaka ni maendeleo, na maendeleo hayo yanapatikana, yanaonekanika, then kwa nini tusiwaache tuu tuendelee tuu bila kufanya ....
naomba nisimalizie watu wasije kuniparura bure humu.
Nawatakia maandalizi mema ya kuingia 2020!.
Paskali
Mkuu Mliberali, nimekusikia, nitabadilishaMakala zako ndefu hazina mvuto ni Yale Yale tu. Badilisha style ya uandishi
Andika objectively na conciselyMkuu Mliberali, nimekusikia, nitabadilisha
Ila nisaidie nitumie styles gani ili makala zangu ziwe na mvuto, niandike kama nani?, Mkuu Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Maalim Mohammed Said, St. Ivuga, Mag3, Mliberali au niandike kama nani ziwe na mvuto?
P
Pascal umetumia hiki kipengele kutueleza ulicho tueleza "Where has extreme poverty declined the most?Mkuu Masiya, katika mashindano ya kuondoa umasikini uliotopea iliyochapishwa mwaka huu, inaonyesha Tanzania ndio inaongoza duniani!. Hata kama data ni za zamani, data hizo ndizo ime Tanzania uongozi mwa mwaka huu!.
P.
Na hapa ndipo tulipofika.Gone are the days JF ilipokuwa kisima cha maarifa.Mgeni anapokuja nyumbani, akala akashiba, anamshukuru mwenyeji. Hata house girl wa Kitanga, akipika mahanjumati kama samaki wa nazi wa kupaka kwenye familia ya Wachagga, mgeni akila na kufurahia chakula pongezi ni kwa mama mwenye nyumba wa Kichagga na sio house girl wa Kitanga.
Hata tulipokaribishwa Ikulu, ile ni nyumba yetu, wafanyakazi tunawalipa sisi, chakula tunanunua sisi, wapishi tunawalipa sisi, bado tukila tukashiba, tunamshukuru mwenyeji wetu.
Any credits kwa Tanzania ya sasa, pongezi ni kwa the current regime.
P
Soma tena para ya mwisho ya bandiko lako, umeandika mipasho bro.Mkuu Mliberali, nimekusikia, nitabadilisha