Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Wakuu habarini?
Nachukua nafasi hii nikiwa mpenda soka na shabiki kindakindaki wa Simba Sports Club kutoa pongezi kwa mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji "Mo" kwa kuiwezesha Simba kuwa club yenye mafanikio nchini na ukanda wa Afrika Mashariki.
Tangu Simba iingie katika mfumo wa hisa (51% wanachama, 49% mwekezaji) imepiga hatua kadhaa zenye mwelekeo chanya, Uwekezaji wake umeiwezesha club ya Simba kuwa ya kisasa na yenye kupendwa Zaidi nchini.
Simba imeweza kuwa na fan base kubwa Sana, pia Simba imekuwa chachu kubwa ya ari na mafanikio ya timu yetu ya taifa, Taifa stars.
Simba Ina mchango mkubwa Sana katika furaha yangu!
Simba Nguvu moja!
NB: utopolo kaeni pembeni na endeleeni kushangilia usajili wa wakongomani Ni mda wenu wa kufurahi kabla hazijaja siku za mateso!