Pongezi sana kwa Mohamed Dewji ( Mo)

Pongezi sana kwa Mohamed Dewji ( Mo)

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
11,258
Reaction score
20,386
Wakuu habarini?

Nachukua nafasi hii nikiwa mpenda soka na shabiki kindakindaki wa Simba Sports Club kutoa pongezi kwa mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji "Mo" kwa kuiwezesha Simba kuwa club yenye mafanikio nchini na ukanda wa Afrika Mashariki.

Tangu Simba iingie katika mfumo wa hisa (51% wanachama, 49% mwekezaji) imepiga hatua kadhaa zenye mwelekeo chanya, Uwekezaji wake umeiwezesha club ya Simba kuwa ya kisasa na yenye kupendwa Zaidi nchini.

Simba imeweza kuwa na fan base kubwa Sana, pia Simba imekuwa chachu kubwa ya ari na mafanikio ya timu yetu ya taifa, Taifa stars.

Simba Ina mchango mkubwa Sana katika furaha yangu!

Simba Nguvu moja!

NB: utopolo kaeni pembeni na endeleeni kushangilia usajili wa wakongomani Ni mda wenu wa kufurahi kabla hazijaja siku za mateso!
 
Wakuu habarini?

Nachukua nafasi hii nikiwa mpenda soka na shabiki kindakindaki wa Simba Sports Club kutoa pongezi kwa mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji "Mo" kwa kuiwezesha Simba kuwa club yenye mafanikio nchini na ukanda wa Afrika Mashariki.

Tangu Simba iingie katika mfumo wa hisa (51% wanachama, 49% mwekezaji) imepiga hatua kadhaa zenye mwelekeo chanya, Uwekezaji wake umeiwezesha club ya Simba kuwa ya kisasa na yenye kupendwa Zaidi nchini.

Simba imeweza kuwa na fan base kubwa Sana, pia Simba imekuwa chachu kubwa ya ari na mafanikio ya timu yetu ya taifa, Taifa stars.

Simba Ina mchango mkubwa Sana katika furaha yangu!

Simba Nguvu moja!

Nb: utopolo kaeni pembeni na endeleeni kushangilia usajili wa wakongomani Ni mda wenu wa kufurahi kabla hazijaja siku za mateso!
😂😂 Naona kuna watu mnateseka na wananchi kweli, jana kuna watu walijipanga kuisimamisha nchi, mmoja ni bilionea, mwingine anajihita mwanamzki bora na mwingine ni mropokaji mzuri tu lakini ndiye msemaji wa timu,

Lakini kilichotokea hadi leo hawataki kuamini kama tukio dogo tu la kupokea wachezaji liliweza kuzima kiki zao zote nakuonekana wao sio tena habari hapa mjini, hiyo ndio nguvu za wananchi.

NB: msalimie Onyango mwambie kuna dogo anaitwa Carlinho.
 
[emoji23][emoji23] Naona kuna watu mnateseka na wananchi kweli, jana kuna watu walijipanga kuisimamisha nchi, mmoja ni bilionea, mwingine anajihita mwanamzki bora na mwingine ni mropokaji mzuri tu lakini ndiye msemaji wa timu,

Lakini kilichotokea hadi leo hawataki kuamini kama tukio dogo tu la kupokea wachezaji liliweza kuzima kiki zao zote nakuonekana wao sio tena habari hapa mjini, hiyo ndio nguvu za wananchi.

NB: msalimie Onyango mwambie kuna dogo anaitwa Carlinho.
Njooni Tena! Badala ya 4G safari hii mnachezea gwala [emoji109]!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu siyo mwekezaji wa hisa 49% sema kwa sasa ni mmiliki wa timu kwa 100%
Maana sikiliza maongezi yake anatoa maamuzi yote yeye na siyo bodi

Mkiitwa msukule wa mudi ni hakika
 
Kauze magodoro ya Manyani fc [emoji1664][emoji204][emoji1664][emoji204]
 
Back
Top Bottom