Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Nikiwa member wa TLS, nimefarijika na taarifa hii ya TLS.
Tunaipongeza Serikali kwa kuchukua hatua za awali kwa kutuma mawaziri waandamizi na kuzungumza na wananchi pamoja na tamko lake kupitia maelezo ya Mawaziri husika la kurejeshwa kwa huduma za kijamii zilizositishwa katika eneo la Ngorongoro na tamko lake la kuridhia kusitishwa kwa tangazo la kufuta vijiji na vitongoji katika eneo la Tarafa ya Ngorongoro na kutangazwa kuanza zoezi la uboreshaji kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Aidha tunapongeza tamko la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan la kukutana na wawakilishi halali wanaotokana na mapendekezo ya wananchi wa jamii ya Kimasai wa Ngorongoro.
Soma Pia:
Nimeipongeza taarifa hii kwasababu baada ya Mwabukusi kuchaguliwa rais wa TLS,
1. Kwanza nilimpongeza na kumshauri kitu Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?
2. Pili nilimshika sikio rais wa r ndogo kwa kumweleza Rais wa R kubwa atafanya kazi na TLS ya aina gani!. Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.
View: https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=Fxs79jIGmTeZy8cb
Hivyo taarifa hii ya TLS ni kama inatembelea mumo humo kwenye reli!.
Pongezi rais Mwabukusi
Pongezi TLS.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali

- TLS Yatoa Tamko Kuhusu Maandamano ya Wananchi wa Ngorongoro, Yataka Haki Zao Ziheshimiwe
- Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro