johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby.
Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge yaliyopita ambayo yalitumia zaidi ndege na magari madogo ya gharama.
Pongezi zimwendee Spika Ndugai na Katibu wa Bunge.
Maendeleo hayana vyama!