Pongezi Wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii kwa kutumia basi la Shabiby kuja Mbeya, mmebana matumizi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby.

Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge yaliyopita ambayo yalitumia zaidi ndege na magari madogo ya gharama.

Pongezi zimwendee Spika Ndugai na Katibu wa Bunge.

Maendeleo hayana vyama!
 
Weka picha
 

Ukiona hivyo ujue hamna hela. Ccm hawana sifa ya kubana matumizi.
 

Shabiby ni mbunge wa Gairo. Mambo ni yale yale. Fedha imerudi ilikotoka. Wangechukua basi la isamilo kweli.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…