Elections 2010 Pongezi za dhati MwanaHalisi, Raia Mwema na Mwananchi

Elections 2010 Pongezi za dhati MwanaHalisi, Raia Mwema na Mwananchi

Pia Joseph Mihangwa wa Raia Mwema na Dada mmoja wa ITV aliyekuwa akifuatilia kampeni za uchaguzi, jina limenitoka, NAMFAGILIA.....!
BRAVO pia kwa watangazaji wawili wa RFA/Star TV....wanajijua, nafuatilia majina yao.

Kweli, anaitwa Ufoo Sari. Kila alikopita Dr. Slaa, alikuwa naye
 
sorry just forgot the guardian on sunday for rashid shamte unacceptable behaviour -they deserve a hug!


no no no kinyaaa ondo hapa ipp ni wanafki sitaki kabisa kusikia whether nipashe,guardian,nipashe jumapili or the guardian on sunday.mwanahalisi,mwananchi,tanzania daima na raia mwema big up sana
 
Magazeti hovyo: Mtanzania, Rai, Uhuru, Mzalendo, Habari Leo, Daily News,
Wanahabari thumb down: Marine Hasani, Tido Mhando, Issa michuzi, Efraim Kibonde, Gardner
TV hovyo: TBC, Channel Ten
Radio hovyo: Clouds, Uhuru, TBC Taifa
 
mwanahalisi na raia mwema huwa nayaita magazeti darasa..habari zake zinaishi...usiyatupe baada ya kusoma..utayahitaji 2015
 
Tumempongeza dr slaa ila ninaomba wanajamii tusiwasahau media zilizojitoa mhanga kumrusha kihali dr slaa na nguvu ya umma-mwanahalisi, raia mwema na mwananchi ni people's speaker. Tuna mashujaa ndani ya haya magazeti yakiongozwa na kubenea -mwanamapinduzi na ulimwengu jenerali na meena mwananchi. Hawa kama ni ethics za uandishi wanazifahamu pamoja na mazingira magumu na vitisho vya wachakachuaji wamesimama kidete kuelimisha umma, kuibua mijadala, kuondoa utata kwa vielelezo, kuwasha moto, magazeti haya ni wapiganaji tuliosalia nao watakaoikomboa tanzania. Tupo teyari kununua raia mwema na mwanahalisi tsh.1000 kwa moja kama mchango wetu kwa utafiti na uzalendo wa magazeti haya mnatisha mnakubalika -big up mwanahalisi team, big up raia mwema team as well as mwanachi team-keep fighting, keep going, dont loose track, wekeni mambo hadharani elimu ya uraia ni muhimu

Spot on! I will pay anything to get the truth!

Tuko nyuma yenu na mnajua hilo kutokana na mauzo yenu, msibabaishwe na watawala, watapita lakini ukweli utasimama milele!
 
Naomba niwashauri MwanaHalisi, Rai Mwema, na Mwananchi waanzishe televisheni ambayo itajikita kwenye siasa na kufichua uovu kama wanavyofanya kwenye magazeti
 
Naomba niwashauri MwanaHalisi, Rai Mwema, na Mwananchi waanzishe televisheni ambayo itajikita kwenye siasa na kufichua uovu kama wanavyofanya kwenye magazeti
Wakianzisha TV station moja tutakosa uwanja mpana wa habari......... wafanye kama magazeti..kila gazeti na TV station yake.........
 
Hongera pia MTANZANIA, HABARI LEO, UHURU, MZALENDO, DAILY NEWS NA TBC. Kwa hakika vyombo hivi vinahitaji pongezi kubwa kwa kazi nzuri.
 
Mbona mnamsahau Mwanakijiji na Lula.... ambao nao articles zao zimekuwa za kusisimua ingawa mwishoni zilipoa poa wengine tukakajiuliza kulikoni na tukadhani kwamba tayari Mwanakijiji keshatembelewa na wale jamaa na kupewa 'ultimatum'!!
 
Bila kumsahau Lula wa Ndali Mwananzela katika hilo kundi kweli ni wapiganaji halisi, kalamu ina nguvu karibu sawa na risasi
 
Nimefurahishwa sana na response ya wana JF kuhusu haya magazeti. Hapa ndipo unajua kabisa hapa JF kuna vichwa na si vichwa maji.
Watu makini na Great Thinkers haya ndiyo magazeti yetu. Hutakuta mtu nasoma Udaku wa Uhuru,Mzalendo,Habari Leo,Daily Noise(News) na takataka zingine kama hivyo. The more you read these newspapers the more you become a Great Thinker.

Big up sana.
 
Kwa mwanahalisi, raia mwema, mwananchi, buberwa, analie, deus kibamba, azaveli, baregu, moto huuu bado mbichi saana mtanionea muziki mpaka tutashuhudia tindikali nyingine manake mafisadi na ccm wanawaska hawa kwa nguvu zote, manake staili ya sasa ni udikiteta kwenda mbele -ok mwanakijiji keep fighting keep going nchi hii kumwachia rostam na mafisadi na madikiteta waiendeshe ni utumwa mbaya ni sawa na kupoteza maisha kabisa enough is enough
 
Nami natoa pongezi Kwa kijarida cha CHECHE ZA FIKRA, mchango wake ni mkubwa sana katika kuleta mabadiliko tuliyofikia mpaka sasa
 
tumempongeza dr slaa ila ninaomba wanajamii tusiwasahau media zilizojitoa mhanga kumrusha kihali dr slaa na nguvu ya umma-mwanahalisi, raia mwema na mwananchi ni people's speaker. Tuna mashujaa ndani ya haya magazeti yakiongozwa na kubenea -mwanamapinduzi na ulimwengu jenerali na meena mwananchi. Hawa kama ni ethics za uandishi wanazifahamu pamoja na mazingira magumu na vitisho vya wachakachuaji wamesimama kidete kuelimisha umma, kuibua mijadala, kuondoa utata kwa vielelezo, kuwasha moto, magazeti haya ni wapiganaji tuliosalia nao watakaoikomboa tanzania. tupo teyari kununua raia mwema na mwanahalisi tsh.1000 kwa moja kama mchango wetu kwa utafiti na uzalendo wa magazeti haya mnatisha mnakubalika -big up mwanahalisi team, big up raia mwema team as well as mwanachi team-keep fighting, keep going, dont loose track, wekeni mambo hadharani elimu ya uraia ni muhimu

tupo tayari na nani?wenzenu wanajirusha tunamjua mwana halisi ni nani wewe nyuma ya pc eti tuko tayari kununua gazeti hata kwa 1000 loh yahusu
 
tupo tayari na nani?wenzenu wanajirusha tunamjua mwana halisi ni nani wewe nyuma ya pc eti tuko tayari kununua gazeti hata kwa 1000 loh yahusu
SI kila kitu ni taarabu............. mnataarabisha hata pasipo husika.......!!!
 
Back
Top Bottom