Kudadadeki
Member
- Oct 7, 2010
- 70
- 3
Pia Joseph Mihangwa wa Raia Mwema na Dada mmoja wa ITV aliyekuwa akifuatilia kampeni za uchaguzi, jina limenitoka, NAMFAGILIA.....!
BRAVO pia kwa watangazaji wawili wa RFA/Star TV....wanajijua, nafuatilia majina yao.
sorry just forgot the guardian on sunday for rashid shamte unacceptable behaviour -they deserve a hug!
Tumempongeza dr slaa ila ninaomba wanajamii tusiwasahau media zilizojitoa mhanga kumrusha kihali dr slaa na nguvu ya umma-mwanahalisi, raia mwema na mwananchi ni people's speaker. Tuna mashujaa ndani ya haya magazeti yakiongozwa na kubenea -mwanamapinduzi na ulimwengu jenerali na meena mwananchi. Hawa kama ni ethics za uandishi wanazifahamu pamoja na mazingira magumu na vitisho vya wachakachuaji wamesimama kidete kuelimisha umma, kuibua mijadala, kuondoa utata kwa vielelezo, kuwasha moto, magazeti haya ni wapiganaji tuliosalia nao watakaoikomboa tanzania. Tupo teyari kununua raia mwema na mwanahalisi tsh.1000 kwa moja kama mchango wetu kwa utafiti na uzalendo wa magazeti haya mnatisha mnakubalika -big up mwanahalisi team, big up raia mwema team as well as mwanachi team-keep fighting, keep going, dont loose track, wekeni mambo hadharani elimu ya uraia ni muhimu
Wakianzisha TV station moja tutakosa uwanja mpana wa habari......... wafanye kama magazeti..kila gazeti na TV station yake.........Naomba niwashauri MwanaHalisi, Rai Mwema, na Mwananchi waanzishe televisheni ambayo itajikita kwenye siasa na kufichua uovu kama wanavyofanya kwenye magazeti
Hongera pia MTANZANIA, HABARI LEO, UHURU, MZALENDO, DAILY NEWS NA TBC. Kwa hakika vyombo hivi vinahitaji pongezi kubwa kwa kazi nzuri.
tumempongeza dr slaa ila ninaomba wanajamii tusiwasahau media zilizojitoa mhanga kumrusha kihali dr slaa na nguvu ya umma-mwanahalisi, raia mwema na mwananchi ni people's speaker. Tuna mashujaa ndani ya haya magazeti yakiongozwa na kubenea -mwanamapinduzi na ulimwengu jenerali na meena mwananchi. Hawa kama ni ethics za uandishi wanazifahamu pamoja na mazingira magumu na vitisho vya wachakachuaji wamesimama kidete kuelimisha umma, kuibua mijadala, kuondoa utata kwa vielelezo, kuwasha moto, magazeti haya ni wapiganaji tuliosalia nao watakaoikomboa tanzania. tupo teyari kununua raia mwema na mwanahalisi tsh.1000 kwa moja kama mchango wetu kwa utafiti na uzalendo wa magazeti haya mnatisha mnakubalika -big up mwanahalisi team, big up raia mwema team as well as mwanachi team-keep fighting, keep going, dont loose track, wekeni mambo hadharani elimu ya uraia ni muhimu
tupo tayari na nani?wenzenu wanajirusha tunamjua mwana halisi ni nani wewe nyuma ya pc eti tuko tayari kununua gazeti hata kwa 1000 loh yahusu
SI kila kitu ni taarabu............. mnataarabisha hata pasipo husika.......!!!tupo tayari na nani?wenzenu wanajirusha tunamjua mwana halisi ni nani wewe nyuma ya pc eti tuko tayari kununua gazeti hata kwa 1000 loh yahusu