Pongezi za dhati zimfikie aliyegundua vazi la kanga kwenye hiki kipindi cha mvua

Pongezi za dhati zimfikie aliyegundua vazi la kanga kwenye hiki kipindi cha mvua

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Hapa ndipo nathibitisha kuwa mwanamke ni pambo la dunia, moja kati ya mapambo manne yaliyoanishwa na mtoto wa Nasib kisanaa.

Ukikutana na mwanaume tall and dark akiwa ndani ya jacket ambalo ni water proof akikatiza chocho hadi chocho kwenye mvua kali ujue ni mimi. Nafanya tathmini ya vazi hili kwa kiasi gani linanata kwa mwili.

Dar es Salaam mvua inapiga haswaa. Si mchana, si usiku. Baadhi ya shughuli zetu za kiuchumi zinatikisika. Vipi huko mikoani?
 
Watakufata inbox na wanavyopenda wanaume warefu,weusi
 
Back
Top Bottom