Pongezi za pekee kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Abubakar Kunenge

Pongezi za pekee kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Abubakar Kunenge

Kwa wanaojua makabidhiano ya ofisi tayari?
 
Yaani mkoa wa baridiiiii umetulia na umekuwa wak starabu sana yaani mpaka SIro anaongelea fujo Masasi sio Dar.Duuu maisha yanaenda kasi sana aisee sio mchezo.Big up mkuu wa mkoa mpya nimekukubali .Makonda akirudi kuwa mkuu wa mkoa aende zake Dodoma
Dodoma wakika na Muroto hali itakuwa tete
 
Back
Top Bottom