Pongezi zangu za dhati zimfikie Steve Mweusi. Hongera sana na Mola akusaidie

Umenifanya nimfatilie nilikua sijauona jamaa anajua sana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji1787][emoji1787]comments nyingi za mbele inaelekea wazungu wanamuelewa sana jamaa
 
Video Clips tafadhali..
 
Huyo dogo naishi nae jirani maeneo ya yombo vituka . Ni mtu poa sana na ametoka mbali sana.

Huyo ni mfano hai wa kujituma kunalipa.
 
Wa wapi huyu? Kama vile niliwahi kumuoba youtube lakini sikuwahi kumaliza kumuangalia, maana sikumuelewa.
Ila nilisoma mahala kuwa huko Nigeria ana trend sana baada ya rais wa nchi hiyo kuu post wimbo wake na kuelezeabkuwa anaupenda na kumkubali.
 
Watu waliomshabikia 20% ndio aina ya watakompenda huyu steve
 
Unajipigia promo
 
Huyu anawafaa sanaa kina Donedrake na ajenda Yao kataa ndo...juz kahojiwa kuwa mbona anaishi mwenyew nyumban kubwa?kajibu tu kuwa Huwa anaish na mlinz tu...
 
Huyo dogo naishi nae jirani maeneo ya yombo vituka . Ni mtu poa sana na ametoka mbali sana.

Huyo ni mfano hai wa kujituma kunalipa.
Nilikuwa namuona sana mitaa ya Yombo machimbo karibu na Buza ,mtaani watu walikuwa wanamkubali na kumsapoti tokea kipindi nado hajulikani.
 
Waaaaaaa aaaaaaa...
Any way waaaaaa aaaaaa
Nice kwakweli...ana vocal la nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…