Ponjolo wa kinondoni ni nani?🤣

Hahaha sana, ponjoro ni muuza dona maarufu kaharibu sana vijana ila hakamatwi na ndiyo maana ni mwema kweli wa CCM ili awe kwenye mfumo na ndiyo maana kanyanyua domo kuonekana yupo na rais ili alinde biashara zake haramu
Kumbe wa dar nanyi mna kula dona , mbona warembo sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…