Poor African watu weusi wanashida kitendo Cha ubaguzi dhidi ya mwenzetu

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,301
Reaction score
1,788
Katka moja ya tukio ambalo nila kusikitisha a kufedhehesha ni lile lililomtokea mchezaji wa Senegal Kripin Diatta katka mchezo dhid ya Tanzania ambapo alifanyiwa ubaguzi hadhari na ndan ya bara lake pendwa Africa dhid ya ndugu zake watu weusi amefedheheshwa Sana kjana wawatu na maneno ya kejeli na ya matusi dhid yake baada ya kufunga goli dhid ya Tz
Sio Jambo zur kuendeleza sera za ubaguzi wa rangi tena kwa ndugu wamoja
Hakika ni historia amabyo hatoisahahu ndugu yetu Diatta
 
Kuhusu hili kweli ndugu yetu alikosewa ..inauma sana
 
Mbona umeleta uchochezi uchwara?
 
Senegal haooo na diatta wameingia nusu......

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…