Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,301
- 1,788
Katka moja ya tukio ambalo nila kusikitisha a kufedhehesha ni lile lililomtokea mchezaji wa Senegal Kripin Diatta katka mchezo dhid ya Tanzania ambapo alifanyiwa ubaguzi hadhari na ndan ya bara lake pendwa Africa dhid ya ndugu zake watu weusi amefedheheshwa Sana kjana wawatu na maneno ya kejeli na ya matusi dhid yake baada ya kufunga goli dhid ya Tz
Sio Jambo zur kuendeleza sera za ubaguzi wa rangi tena kwa ndugu wamoja
Hakika ni historia amabyo hatoisahahu ndugu yetu Diatta
Sio Jambo zur kuendeleza sera za ubaguzi wa rangi tena kwa ndugu wamoja
Hakika ni historia amabyo hatoisahahu ndugu yetu Diatta