Mkuu IGWE sio peke yako iliyokugusa; mimi nimeshindwa kuimalizia yote hiyo video clip. Mda mwingine tunajiabisha sisi wenyewe. Naimani kama angeongea kiswahili angekuwa na mengi ya kuhamasisha vijana kuliko hayo aliyojibabaisha nayo. Poor AliStupid him....kwanini asiongee kiswahili tu.
Nimejikuta naona aibu mm hapa.
HUYU MTU SIMPENDI ANAVYOJISHEBEDUA SHEBEDUA HALAFU HAPENDI APITWE NA DIAMOND JAPO HAMKARIBIIMkuu IGWE sio peke yako iliyokugusa; mimi nimeshindwa kuimalizia yote hiyo video clip. Mda mwingine tunajiabisha sisi wenyewe. Naimani kama angeongea kiswahili angekuwa na mengi ya kuhamasisha vijana kuliko hayo aliyojibabaisha nayo. Poor Ali
Na ndio maana hatuchangii kwa kingereza kwani kiba alizuiwa kuongea kiswahili?? angeafunguka tu kw alugha mama na angejielezea vizuri tu na kwa nafasi kama mwenzake baraka the prince na mkalimani wakeWengi tuna ujuzi wa kuponda ilimradi tu. Ebu kila alie changia hapa arudi kuchangia kwa kingereza baada ya hapo ndo tuanze kumkosoa huyo Kiba
International artist huyo... Husimfananishee na King. YOU KNOWmond huyo
Bora kichuya kaka kila weekend anatupia kuliko huyu Mr you knowbora Shiza Kichuya.
Nahisi ndugu hawaUyu na Mkulu ni ndugu?
Akhsante.. Sijui wewe mwenzetu wawapi au ni NYANG'AU???????Wa Tz mnapenda sana majungu na matabaka ........sheeeeenz kabisa
Ni kweli. I've heard worse!Acheni kumbe za kiba kajitahidi mno kingereza kwa Watanzania wengi kinasumbua
Wale wale tu.Yeah so yeah growing you know yeahhhh
Yeah encouraged generation you know
You knowwwww yeah
Umeridhika?[emoji108] [emoji108]
Wale wale nini?...kama katema broken tusiseme? We vipi!Wale wale tu.
Siyo mara yake ya kwanza kuongea broken,huyo jamaa hajifunzi. Pitia youtube ndio utachoka. Na sijui kwanini hawa baadhi ya wasanii wanakomalia English wakati hawaiwezi? Nani aliwaambia ndio lugha pekee inayopaswa kutumika? Mbona wasanii wanaoongea French hawajishughulishi nayo kama hawaiwezi?Watu hujifunza kutokana na makosa so next time ata jitahidi.