Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

Yah!! you know!!!!!!!!!!!!!yah!!!!!!!!! you know!!!!!!!!!!!!!yah!!!!!!!!! you know!!!!!!!!!!!!!yah!!!!!!!!! you know!!!!!!!!!!!!!yah!!!!!!!
 
atafanikiwa tuu tumpe moyo tuu kuliko kumkatisha tamaa
 
Shame on you ....

Si lazma awe na perfect english ndio aongee kwenye public

Mwache kijana ajitahidi, he will come good.... hata wanaomhoji wanajua kwamba english is not his mother tongue!! it seem una chuki binafsi

Nyambaaff wahed
 
kizungu bwana!!!
 
Shame on you ....

Si lazma awe na perfect english ndio aongee kwenye public

Mwache kijana ajitahidi, he will come good.... hata wanaomhoji wanajua kwamba english is not his mother tongue!! it seem una chuki binafsi

Nyambaaff wahed
Hili povu naomba nije kuloeka nguo
 
Kwanini asinge ongea kiswahili kama baraka au angeenda na seven aokoe jahazi, ila sio mbaya mwanzo mgumu au Salam sk kamwibia dictionary .
Hahaa atalalamika Salam alikuwa Back stage na amemuibia dictionary!
 
You know nyingi sasa ivi harmonz atampita kwa english
 
soo..yaah yaah! yu know yaah soo! yaah yaah, i have yaah..yu know!!![emoji16] [emoji16]
 
Hivi huyo Ali anataka kutoka kimataifa bila ya kujua kiingriiishhh ni shida
 
Hili povu naomba nije kuloeka nguo
POVU HALILOWEKI NGUO... MAJI NDIO YANALOWEKA NGUO

Sisi wazee huwa tunaangalia vijana mnapohangaika na kujipiga mitama wenyewe

BTW, si unajua kwamba nguo zinalowekwa kwenye maji?? umeshacheki home na mama kama ana maji ya kutosha uloweke nguo?
 
https://jamii.app/JFUserGuide YOU MTOA MADA...KIBA KAONGEA VIZURI SANAA...kasema maisha yamekuwa mazuri tofauti Na mwanzo,ame tengeneza ajira Kwa kizazi kipya, Na yeye Ni mkongwe hapa kwetu...Asante ally wewe Ni mswahili kiingereza si lugha yako Na umeeleweka vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…