Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.
Kweliatafanikiwa tuu tumpe moyo tuu kuliko kumkatisha tamaa
If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.
ha haaaa haaaaa basi mkuu watapasuka wale timuA.k.a chafu kabisa roho mbaya....kawaambie dada zao watoke kariakoo waende ulaya!
Hili povu naomba nije kuloeka nguoShame on you ....
Si lazma awe na perfect english ndio aongee kwenye public
Mwache kijana ajitahidi, he will come good.... hata wanaomhoji wanajua kwamba english is not his mother tongue!! it seem una chuki binafsi
Nyambaaff wahed
[emoji3] [emoji3] [emoji3] itakuwaUyu na Mkulu ni ndugu?
Hahaa atalalamika Salam alikuwa Back stage na amemuibia dictionary!Kwanini asinge ongea kiswahili kama baraka au angeenda na seven aokoe jahazi, ila sio mbaya mwanzo mgumu au Salam sk kamwibia dictionary .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]'You know' sijazihesabu lakini zipo nyingi sana
POVU HALILOWEKI NGUO... MAJI NDIO YANALOWEKA NGUOHili povu naomba nije kuloeka nguo