Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

Wengi hapa watamponda ila wasimamishwe wao kuongea tutaona vioja vya kila aina.
Mie naona kaongea vizuri ukizingatia sio mzungu yani ni poa tu kwangu
 
Wa Tz mnapenda sana majungu na matabaka ........sheeeeenz kabisa
 
POVU HALILOWEKI NGUO... MAJI NDIO YANALOWEKA NGUO

Sisi wazee huwa tunaangalia vijana mnapohangaika na kujipiga mitama wenyewe

BTW, si unajua kwamba nguo zinalowekwa kwenye maji?? umeshacheki home na mama kama ana maji ya kutosha uloweke nguo?
Lugha yako tu inaonyesha huna uzee wowote hasa kiakili
 
MBONA KAONGEA VZRIIIII WANANGUUU DAH WATANZANIA TUKO NYUMA SANAAA NA TUTAENDELEA KUWA NYUMA MPAKA MWAKANI KAONGEA VIZURI SANA MIMI NAONA HAJAKOSEA MBONA WE UNAEJUA SANA POAAA SHUKURU KWA HCHO UNACHOJUA SIO KUMKOSOA MWENZO KWA KILE MUNGU ALICHOMPA SAWA NA USISEME AONGEE KISWAHILI PALE HATAONGEAJE KWAN KUNA WASWAHILI PALE ACHENI MAJUNGU YA KITEAM NDG ZANGU SAA HV SIO UTEAM HAUKUINGIZIII CHCHT WE MKOSOE KINGEREZA MWENZIO ANAPIGA ELA MWSHO WA SIKU TUTAONA NAN MPUMBV
 
**** YOU MTOA MADA...KIBA KAONGEA VIZURI SANAA...kasema maisha yamekuwa mazuri tofauti Na mwanzo,ame tengeneza ajira Kwa kizazi kipya, Na yeye Ni mkongwe hapa kwetu...Asante ally wewe Ni mswahili kiingereza si lugha yako Na umeeleweka vizuri
ana chuki.... na anaonekana hana mafanikio
 
Kitu ambacho kiko sahihi hakitolewi maelezo mengi hivo , ukikiona tu kinajieleza chenyewe
 
Acheni kubwata, mbn wengi wanachapia tu hiyo lugha kwani hao ngozi nyeupe mbn wanachapia kiswahili hamuwaambii bora waongee cha kwao.... Ila siwashangai wanaume wa dar maana majungu ndo kazi ya wengi wenu. Mbn Paul wa P square alichapia kiswahili hamkubwata kama mnavyoshika bango hivi. Haya wewe ukisimama na chako cha kupigwa rula kichwani na mwalimu na kukariri toka kwny movie wajiona wajua. Mi naona si ajabu mtu kukosea lugha isiyokuwa yake nao wanaosikiliza wanajua si lugha yaje. Mbn big brother washiriki wake wanakosea sana, au kile kiibgereza cha wanaijeria mnaona kiko sahihi. Fikiria chanya kwqnza kisha ndo uongee mambo mengine hasi dhidi ya mtu tena kwa lengo la kujenga si hivi.... Umeibgiza sh ngapi kwa kutuonesha madhaifu yake
 
Kitu gani kikubwa hapo...
Waswahili kama mmerogwa yaani..

kiswahili kikizungumzwa na mgeni bila ya ufasaha,mtamsifu ila mwenzetu akiongea lugha ya kigeni bila ya ufasaha ni lazma mtamkejeli

Tuna roho za kwa nini sana na ndio maana hatuendelei kwa kuwa watu wanaogopa kuchekwa kama wakijaribu.....

Mimi ninampongeza kwa kujaribu
 
Video ya 60 seconds lakini "You know" zipo 120. Angetumia kiswahili tu.
 
TUNAHITAJI WATU KAMA WW HUMU
 
TUNAHITAJI WATU KAMA WW HUME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…