Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha yako tu inaonyesha huna uzee wowote hasa kiakiliPOVU HALILOWEKI NGUO... MAJI NDIO YANALOWEKA NGUO
Sisi wazee huwa tunaangalia vijana mnapohangaika na kujipiga mitama wenyewe
BTW, si unajua kwamba nguo zinalowekwa kwenye maji?? umeshacheki home na mama kama ana maji ya kutosha uloweke nguo?
Hata mimi nilipokua umri wako nilidhani najua kila kitu na kuanalyze kila kituLugha yako tu inaonyesha huna uzee wowote hasa kiakili
[emoji23][emoji23]umeona eeh mpaka naona aibu mimi binafsi jamaniAibu naona mimi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenichekesha mkuu umeongea utadhani tunaonanaHata mimi nilipokua umri wako nilidhani najua kila kitu na kuanalyze kila kitu
ana chuki.... na anaonekana hana mafanikio**** YOU MTOA MADA...KIBA KAONGEA VIZURI SANAA...kasema maisha yamekuwa mazuri tofauti Na mwanzo,ame tengeneza ajira Kwa kizazi kipya, Na yeye Ni mkongwe hapa kwetu...Asante ally wewe Ni mswahili kiingereza si lugha yako Na umeeleweka vizuri
Kitu ambacho kiko sahihi hakitolewi maelezo mengi hivo , ukikiona tu kinajieleza chenyeweMBONA KAONGEA VZRIIIII WANANGUUU DAH WATANZANIA TUKO NYUMA SANAAA NA TUTAENDELEA KUWA NYUMA MPAKA MWAKANI KAONGEA VIZURI SANA MIMI NAONA HAJAKOSEA MBONA WE UNAEJUA SANA POAAA SHUKURU KWA HCHO UNACHOJUA SIO KUMKOSOA MWENZO KWA KILE MUNGU ALICHOMPA SAWA NA USISEME AONGEE KISWAHILI PALE HATAONGEAJE KWAN KUNA WASWAHILI PALE ACHENI MAJUNGU YA KITEAM NDG ZANGU SAA HV SIO UTEAM HAUKUINGIZIII CHCHT WE MKOSOE KINGEREZA MWENZIO ANAPIGA ELA MWSHO WA SIKU TUTAONA NAN MPUMBV
TUNAHITAJI WATU KAMA WW HUMUAcheni kubwata, mbn wengi wanachapia tu hiyo lugha kwani hao ngozi nyeupe mbn wanachapia kiswahili hamuwaambii bora waongee cha kwao.... Ila siwashangai wanaume wa dar maana majungu ndo kazi ya wengi wenu. Mbn Paul wa P square alichapia kiswahili hamkubwata kama mnavyoshika bango hivi. Haya wewe ukisimama na chako cha kupigwa rula kichwani na mwalimu na kukariri toka kwny movie wajiona wajua. Mi naona si ajabu mtu kukosea lugha isiyokuwa yake nao wanaosikiliza wanajua si lugha yaje. Mbn big brother washiriki wake wanakosea sana, au kile kiibgereza cha wanaijeria mnaona kiko sahihi. Fikiria chanya kwqnza kisha ndo uongee mambo mengine hasi dhidi ya mtu tena kwa lengo la kujenga si hivi.... Umeibgiza sh ngapi kwa kutuonesha madhaifu yake
TUNAHITAJI WATU KAMA WW HUMEKitu gani kikubwa hapo...
Waswahili kama mmerogwa yaani..
kiswahili kikizungumzwa na mgeni bila ya ufasaha,mtamsifu ila mwenzetu akiongea lugha ya kigeni bila ya ufasaha ni lazma mtamkejeli
Tuna roho za kwa nini sana na ndio maana hatuendelei kwa kuwa watu wanaogopa kuchekwa kama wakijaribu.....
Mimi ninampongeza kwa kujaribu