Al gator
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,029
- 565
Ushauri wangu wa Bure kwa Kiba, Kwanza aanze kujifunza kwa Diamond. Diamond pamoja na kujitetea koote kuwa mademu zake ndio wamemfundiaha Lugha Kiba anatakiwa ajue pia kuwa Diamond alihudhuria British Cousel ilikujinoa. Sasa Kiba aanze kuhudhuria British Counsel ili asije kuaibika na kuliaibisha Taifa tena.If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali,Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiabisha mpaka wenzako wanakucheka,sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee,inshort umeboa sana!!!Poor kibakuli.